Mkuu hebu lete chanzo cha hii habar yako!
Nina hakika hakuna mtu ambae amemwona Afande sele,mwisho mwampam ba na oten siku hizi za karibuni,
Sijui niseme wamejificha ama wamejichimbia.
Chimbo lao ni morogoro kule juu kwa mkuu wa mkoa mbele milimani.Nina tabia ya kwenda mara mbili kwa week.
Yaani ki ukweli wamechoka sana utawaurumia ukiwaona,wanashinda kutwa nzima wanavuta bange tu na stori zao ni za mafanikio tu uku wamekaa bila kazi.
Huyo oten hata usiseme juzi katoka kuniomba mia tano.Hali yake ni mbaya,nashangaa mleta mada anasema kaajiri watu.
Kama yuko na picha ya oten ya mwaka huu na hayo mashamba aweke hapa.
Chanzo cha habari ni mwenyewe.