Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Kipande gan mkuuKwenye ngoma mpya ya Baba level - High na Low nilimskia Philipo Nyandindi
Better come late than neverHapo ndipo wanapokosea....
wakati ule anaimba hebu nicheki alitakiwa awe analima pia
Maisha ni ktk umri wowoteAtakuwa kwenye 40s sasa hivi kwa hiyo maisha ndo yameanza rasmi.
"Life begins at forty"
Ktk kilimo huwa kuna kupata na kupoteza kama ulivyo utafutaji mwinginena mvua hizi atapata kitu kweli kwenye aina ya hicho kilimo alichokichagua?
100% trueBetter come late than never
Weka picha ya hilo shamba badala ya O tenJamaa hataki masikhara, saivi amewekeza katika kilimo cha mananasi, tikiti na mbogamboga huku akiwa ameajiri makumi ya vijana mkoani Morogoro.
Wepi hao?Wajanja wenzake wametengeneza mazingira.. wamelipwa bilion 2 za tigo
Wepi hao?