William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira.
Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko.
Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa kwao.
Kama Chama kapigwa Faini na kufungiwa mechi kadhaa kwa kushindwa kusalimiana na wachezaji pinzani Ni wakati wa Simba Kama klabu kubwa kupigania fear play kwa afya ya wachezaji wake. Na wa timu zingine.
Kwa makusudi kapombe, Phiri, Sacko, okra na Chama Ni walengwa wa Opponent.
Baada ya mechi ya leo tutajadili kitu.