Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

Yanga wanahonga wachezaji wawavunje wachezaji muhimu wa Simba
 
Acheni wawapige...hata wakiwaua sawa tu......huu Ni mchezo wa kiume Kama unaogopa rafu Kaa na mama yako muangalie tamthiliya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira.

Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko.

Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa kwao.

Kama Chama kapigwa Faini na kufungiwa mechi kadhaa kwa kushindwa kusalimiana na wachezaji pinzani Ni wakati wa Simba Kama klabu kubwa kupigania fear play kwa afya ya wachezaji wake. Na wa timu zingine.

Kwa makusudi kapombe, Phiri, Sacko, okra na Chama Ni walengwa wa Opponent.

Baada ya mechi ya leo tutajadili kitu.
Ukubwa wa tatizo hili umeongezeka sana kuanzia msimu uliopita na huu inaonekana kabisa ni mpango elekez hasa ukizingatia ni kama marefa wanamaelekezo,vitendo hivi vifike mwisho
 
Nashauri siku moja Simba watenge game moja ya kupoteza. Siku hiyo waingize wachezaji wale ambao huwa hawatumiki kabisa halafu watembeze buti ambalo halijawahi kuonekana katika mchezo wa mpira. Kuna uwezekano hiyo game haitaisha kwa kadi zitakazotolewa. Huu utakuwa ujumbe wa kutosha.
 
Ongezea na mechi dhidi ya biashara Namungo Kuna wachezaji walicheza rafu Kwa makusudi ila refa akawa anapeta Shabalala kama nahodha alitakiwa kuwa msitari wa mbele kumlalamikia mwamuzi lakini aliacha wachezaji wapambane wenyewe na viongozi wa Simba wanajifanya uzungu mwingi wanakaa kimya
huyu mpumbavu hastaili kuwa nahodha
 
Wachezaji wenu ndio waanzirishi wa rafu na hawafanywi kitu. Ile rafu ya inonga kwa sureboy haitowaacha salama makolo
Mimi niliifurahia sana ile rafu. Nilifanya na sherehe. Ila naumia kwanini hakuifanya kwa nguvu zaidi ili AMVUNJE KABISA...
 
Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira.

Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko.

Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa kwao.

Kama Chama kapigwa Faini na kufungiwa mechi kadhaa kwa kushindwa kusalimiana na wachezaji pinzani Ni wakati wa Simba Kama klabu kubwa kupigania fear play kwa afya ya wachezaji wake. Na wa timu zingine.

Kwa makusudi kapombe, Phiri, Sacko, okra na Chama Ni walengwa wa Opponent.

Baada ya mechi ya leo tutajadili kitu.
Nyie si watoto wa tff?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom