William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Huyo Phiri ye ndio nani?Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira.
Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko.
juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa kwao.
Kama Chama kapigwa Faini na kufungiwa mechi kadhaa kwa kushindwa kusalimiana na wachezaji pinzani Ni wakati wa Simba Kama klabu kubwa kupigania fear play kwa afya ya wachezaji wake. Na wa timu zingine.
Kwa makusudi kapombe, Phiri, Sacko, okra na Chama Ni walengwa wa Opponent.
Baada ya mechi ya leo tutajadili kitu.
Mkuu, Mkuki Kwa nguruwe, Kwa binadamu mchungu! Washasahau kabisa rafu zao..Wachezaji wenu ndio waanzirishi wa rafu na hawafanywi kitu. Ile rafu ya inonga kwa sureboy haitowaacha salama makolo
Hili lipo wazi na sio Phiri tu. Pamoja na Simba kuwa na mapungufu baada ya baadhi ya wachezaji kuondoka lakini limekuwa tatizo. Nashukuru sana umeliona.Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira.
Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko.
juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa kwao.
Kama Chama kapigwa Faini na kufungiwa mechi kadhaa kwa kushindwa kusalimiana na wachezaji pinzani Ni wakati wa Simba Kama klabu kubwa kupigania fear play kwa afya ya wachezaji wake. Na wa timu zingine.
Kwa makusudi kapombe, Phiri, Sacko, okra na Chama Ni walengwa wa Opponent.
Baada ya mechi ya leo tutajadili kitu.
Ngada FC kwa kulalama hamjambo..!!Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira.
Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko.
Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa kwao.
Kama Chama kapigwa Faini na kufungiwa mechi kadhaa kwa kushindwa kusalimiana na wachezaji pinzani Ni wakati wa Simba Kama klabu kubwa kupigania fear play kwa afya ya wachezaji wake. Na wa timu zingine.
Kwa makusudi kapombe, Phiri, Sacko, okra na Chama Ni walengwa wa Opponent.
Baada ya mechi ya leo tutajadili kitu.
Na rafu ya inonga kwa sure boy uliiona? Na ile chama alimchezea fei nadhani nayo hukuiona? Na vipi ile pesa waliyokapewa kmc dhidi ya yanga iliyokatolewa na paul makonda nayo haukuiona? Au haya yote yakipokifanyika wewe ulikuwa jela au ICU?Hili lipo wazi na sio Phiri tu. Pamoja na Simba kuwa na mapungufu baada ya baadhi ya wachezaji kuondoka lakini limekuwa tatizo. Nashukuru sana umeliona.
Mwaka jana wapinzani ndio mbinu waliitumia pakubwa kwa kile walichokiita ahadi ya pesa iwapo Simba itafungwa na walifanikiwa. Mfano match Vs Dodoma Jiji wachezaji takribani 4 waliumizwa. Bado Anuar Jabir anatolewa kwa red card watu wanakwambia Simba inabebwa dah.
Shida ya upande wa pili kila hoja huja na madai ya kubalance uovu. Uovu huwezi kuwa halali hata Kama Ni wakufanya kisasi.Hamna uhalali wa kulalamikia kufanyiwa faulo maana ndo zenu. Majeruhi yatawaaandama mpaka pale mtakapomuomba msamaha Sureboy na Feisali.
Ahadi ya pesa, hilo hata msiliongelee.
Ameandika kilugha huyo.Fear play ndio nini?
mumeo kipenzi huyoHuyo Phiri ye ndio nani?
Ongezea na mechi dhidi ya biashara Namungo Kuna wachezaji walicheza rafu Kwa makusudi ila refa akawa anapeta Shabalala kama nahodha alitakiwa kuwa msitari wa mbele kumlalamikia mwamuzi lakini aliacha wachezaji wapambane wenyewe na viongozi wa Simba wanajifanya uzungu mwingi wanakaa kimyaHili lipo wazi na sio Phiri tu. Pamoja na Simba kuwa na mapungufu baada ya baadhi ya wachezaji kuondoka lakini limekuwa tatizo. Nashukuru sana umeliona.
Mwaka jana wapinzani ndio mbinu waliitumia pakubwa kwa kile walichokiita ahadi ya pesa iwapo Simba itafungwa na walifanikiwa. Mfano match Vs Dodoma Jiji wachezaji takribani 4 waliumizwa. Bado Anuar Jabir anatolewa kwa red card watu wanakwambia Simba inabebwa dah.
Rafu ya makusudi ni kama ile aliyocheza inonga kwa sure boy?Ongezea na mechi dhidi ya biashara Namungo Kuna wachezaji walicheza rafu Kwa makusudi ila refa akawa anapeta Shabalala kama nahodha alitakiwa kuwa msitari wa mbele kumlalamikia mwamuzi lakini aliacha wachezaji wapambane wenyewe na viongozi wa Simba wanajifanya uzungu mwingi wanakaa kimya