Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

Yanga wanahonga wachezaji wawavunje wachezaji muhimu wa Simba
 
Acheni wawapige...hata wakiwaua sawa tu......huu Ni mchezo wa kiume Kama unaogopa rafu Kaa na mama yako muangalie tamthiliya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukubwa wa tatizo hili umeongezeka sana kuanzia msimu uliopita na huu inaonekana kabisa ni mpango elekez hasa ukizingatia ni kama marefa wanamaelekezo,vitendo hivi vifike mwisho
 
Nashauri siku moja Simba watenge game moja ya kupoteza. Siku hiyo waingize wachezaji wale ambao huwa hawatumiki kabisa halafu watembeze buti ambalo halijawahi kuonekana katika mchezo wa mpira. Kuna uwezekano hiyo game haitaisha kwa kadi zitakazotolewa. Huu utakuwa ujumbe wa kutosha.
 
huyu mpumbavu hastaili kuwa nahodha
 
Wachezaji wenu ndio waanzirishi wa rafu na hawafanywi kitu. Ile rafu ya inonga kwa sureboy haitowaacha salama makolo
Mimi niliifurahia sana ile rafu. Nilifanya na sherehe. Ila naumia kwanini hakuifanya kwa nguvu zaidi ili AMVUNJE KABISA...
 
Nyie si watoto wa tff?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…