Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

NIMEONA VIJANA HASA KATIKA MTANDAO WA "X" BADO WANABISHANA NA KULUMBANA KUHUSU ADVANCE NA KWENDA DIPLOMA😂😂😂😂

NI HUZUNI!!!

KWA OBSERVATION ZANGU IKIWA MWANAFUNZI ANAFAULU KWA KUBAHATISHA YAANI MTU ANAFAULU TU MATOKEO YA MWISHO ILA HUKO NYUMA MATOKEO YAKE NI KISANGA AU YA KAWAIDA SANA HUYU AENDELEE KUBAHATISHA.NAMSHAURI AENDE ADVANCE, HAWA HUWA WANAKUJA KUSOMA KOZI ZA BIASHARA CHUO WAKATI WAO WLISOMA SAYANSI.

ILA KWA WALE WANAOJUA WANATAKA NINI TANGU AWALI NA WANAFAULU KWA UFAULU WA WASTANI NA UFAULU WA JUU.HUYU MWANAFUNZI AENDE KUPIGA DIPLOMA MOJA KWA MOJA POSSIBILITY YA KUFAULU NA KUTOKA NA GPA KUBWA YA KUMUWEZESHA KUJIUNGA NA DEGREE NI KUBWA🤝
 
Acha kumpotosha dogo. Kutaka kujifunga kwenye engineering ni upuuzi. Aende Advance akaze atoke na cheti kizuri. Akiwa na cheti cha six kizuri atakuwa na uwanja mpana wa kusoma anachotaka. Pia hadi amalize six atakuwa na akili za kiutu uzima zaidi kujua kipi chenye market zaidi.
 
Yaani yupo interested na kitu kipi Computer, majengo, magari au machines mbalimbali?
Mkuu kwa hali ya bongo ilivyo sioni kama ni vema kusomea kitu unachokipenda wakati hakina demand, nina rafiki alikuwa anapenda mambo ya bima akasomea insurance, kahangaika sana baada ya kuhitimu
 
Akienda Diploma inabidi akaze kweli kweli achomoke na GPA kubwa maana kama akitaka kuongeza elimu apate Degree huwa kuna competition kubwa sababu ya nafasi chache, priority huwa ni wale waliotoka A Level.
 
NAKUSISITIZA,ASIENDE ADVANCE
KUKOSEKANA KWA VYUO VINGI VYA AFYA NDO KUNAFANYA BADO ADVANCE IENDELEE KUPATA HEADLINES LAKINI MZANI UKIHAMA NA VYUO VIKAONGEZA UDAHILI WA EQUIVALENT ( DIPLOMA HOLDERS) HAKIKA HAO ADVANCE WATAKUWA HAWANA CHAO.

UKITOA TOPIC YA ORGANIC HAKUNA KITU KINGINE KINAAPPLICATION HUKO CHUO KWA KOZI ZA AFYA.

UKITOA HESABU ZA INTERGRATION NA DIFFERENTIATION HAKUNA KITU KINGINE KINAAPLICATION KATIKA KOZI ZA ENGINEERING.
 
Muulize anapenda kusomea nini, mpeleke akaanze kusoma diploma ya kitu anacho penda, huko form 5 & 6 ni kupoteza muda tu.
 
Acha kumpotosha dogo. Kutaka kujifunga kwenye engineering ni upuuzi. Aende Advance akaze atoke na cheti kizuri. Akiwa na cheti cha six kizuri atakuwa na uwanja mpana wa kusoma anachotaka. Pia hadi amalize six atakuwa na akili za kiutu uzima zaidi kujua kipi chenye market zaidi.
Acha uongo, Form 4 ndio wana uwanja mpana zaidi

akiingia Diploma anaweza kusomea Electrical engineering, akifika Degree anaweza kusomea Computer engineering.

Hizo ni taaluma mbili zinazomuongezea wigo wa fursa tofauti na form 6 anaekwenda degree kusomea taaluma moja

Point yako ya form 6 kuwa na akili za utu uzima nakupinga kabisa, form 6 wengi wanachungwa boarding kama form 1, wanatandikwa viboko kama watoto wadogo, hawaruhusiwi kumiliki simu, n.k.
 
Electical Engineering....
Hii sizani kama atatoboa maana huku tupo half man half genius kwa hayo matokeo bora akomae na hvo vingine mkuu
 
Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo kwenye masomo ya Science,

Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo

Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee,

hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida kupata fursa mfano petroleum engineering, agriculture engineering, textile engineering, environment engineering, n.k.

Nimefanya research kwa kuanzia maarufu angalau kuna matumaini ni Computer Engineering, Mechanical Engineering, Electical Engineering na nyingine unaweza kunishauri

Naombeni ushauri kwa kuzingatia tatizo la ajira, aende kusomea kitu ambacho angalau kina soko, pia kuwe kuna matangazo ya ajira mara kwa mara.
Focus ya kama ni Ajira, Hamna WA kutoa ushauri wenye guarantee...Ila kama target yake inategemea na wakati huo, basi nashauri
1.Automobile engineering -electrical
2.Mechanicall engineering
2. Environmental engineering,water resources..
Vyuo Kwa Tz...viko vingi Ila lazma aisome certificate,au diploma. Sasa kaz yake atembelee tovuti za TZ za vyuo.
 
Acha kumpotosha dogo. Kutaka kujifunga kwenye engineering ni upuuzi. Aende Advance akaze atoke na cheti kizuri. Akiwa na cheti cha six kizuri atakuwa na uwanja mpana wa kusoma anachotaka. Pia hadi amalize six atakuwa na akili za kiutu uzima zaidi kujua kipi chenye market zaidi.
Zamani form 4 mtu anakuwa na maamuzi hata ya kupewa mke na kupewa uongozi. Ukifatilia zamani huyu wasira alianza uongozi mdogo kabia.

Sasa kama mtu amemaliza form 4 lakini bado unaona hajakuwa.Huko shule alienda kusomea ujinga???

Wenzetu wazungu( BINADAMU KAMILI) umri wa miaka 23 mtu anamaliza masters sasa hiyo hoja yako ya kwamba mtu asiende chuo kwakuwa ni mdogo kwa umri unadhani ni sahihi??
 
Back
Top Bottom