Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

Zamani gani tena? Ni hii ambayo watoto walikuwa wanaanza shule na miaka 10 au zaidi? Unaijua background ya Wasira? Tusipoipuuza hii comment yako utaanza kufananisha mtoto wa Mwigulu na watoto wengine wa makapuku.
ACHANA NA WASSIRA WAONGELEE WAZUNGU( BINADAMU KAMILI).
 
Vyuo: DIT, MUST, St. Joseph, na Coet UDSM.
 
Mwambie akapige Biomedical Engineering DIT pale. Hii bado watu wengi hawajaijua na ina dili sana kwenye mambo ya afya.
 
Environmental engineering ina shida gani
 
Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4

Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo

Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee,

hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida kupata fursa mfano petroleum engineering, agriculture engineering, textile engineering, environment engineering, n.k. kuna taaluma zipo kisiasa, ni za majaribio, kuongeza mapato ya chuo, n.k. zinawaacha wahitimu wanasota

Nimefanya research nimeona angalau kuna matumaini kwenye Computer Engineering, Mechanical Engineering, Electical Engineering na nyingine unaweza kunishauri

Naombeni ushauri kwa kuzingatia tatizo la ajira, aende kusomea kitu ambacho angalau kina soko, pia kuwe kuna matangazo ya ajira mara kwa mara.
Inaonesha hujui taaluma zenye uafadhali wa kujiajiri. Civil Engineering ndiyo mpango mzima
 
Ni civil au Electrical achague kimoja wapo kozi zingine atakuwa amepotea njia
Apige environmental engineering hatojuta iko hot sana mfano mm now napga mambo ya installation of firefighting system na installation of ac, nyie mnalopoka bila kujua undan wa course mzee environmental engineering ni balaa unaweza fanya kaz sehem nyingi halmashaur, hospital na mrad wowote hauwez tekelezwa bila kitu kinaitwa eia na anakifanya environmental engineer tuu.
 
Hizo zimepitwa na wakati environmental engineering inakuja kwa kasi na inapanda wat tunafanya mpaka mambo ya mitambo ya fire na ac nyie kalilini tuu.
Historicaly Engineering na medicine & health (even IT ni sub branch ya engineering)ni sekta mama, ziko enzi tokea enzi za maandiko, na zitaendelea kuwepo, unasema zimepitwa na wakati? Hauko serious wewe?
Ondoa afya, ujenzi? Dunia itapiga hatua? Human civilization ita survive?

Enviromental bado sana, no disrespect lakini si kozi mama dunia hii. And hata ikufutika dunian human wanaweza ishi without it
 
Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4

Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo

Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee,

hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida kupata fursa mfano petroleum engineering, agriculture engineering, textile engineering, environment engineering, n.k. kuna taaluma zipo kisiasa, ni za majaribio, kuongeza mapato ya chuo, n.k. zinawaacha wahitimu wanasota

Nimefanya research nimeona angalau kuna matumaini kwenye Computer Engineering, Mechanical Engineering, Electical Engineering na nyingine unaweza kunishauri

Naombeni ushauri kwa kuzingatia tatizo la ajira, aende kusomea kitu ambacho angalau kina soko, pia kuwe kuna matangazo ya ajira mara kwa mara.
VETA
 
Akasomee Bodaboda Engineering. Inalipa sana kwa sasa.
 
Asomee kati ya Mechanical au Electrical huku akichukua kozi za computer na fundi umeme ( kama akisomea electrical) au fundi mechanic ( kama akichukua mechanical)
 
Historicaly Engineering na medicine & health (even IT ni sub branch ya engineering)ni sekta mama, ziko enzi tokea enzi za maandiko, na zitaendelea kuwepo, unasema zimepitwa na wakati? Hauko serious wewe?
Ondoa afya, ujenzi? Dunia itapiga hatua? Human civilization ita survive?

Enviromental bado sana, no disrespect lakini si kozi mama dunia hii. And hata ikufutika dunian human wanaweza ishi without it
Mm nazungumzia environmental engineering syoo environmental as environmental hv kaka mfano maji syoo muhimu uzibit wa taka je na athari zote za mzngira usiongee if huna kichwa mkuu.
 
You dude, those thing zimekuja gain popularity majuzi, yes ina umuhim wake but no that much
Else ingekuwa number 1 one the chart muda huu
 
Huijui mm ni environmental engineer nawork kwenye company ambazo zinajihusisha na installation,design and maintenance of firefighting system,air conditioning na data centre na nakimbza fresh nnauwezo wa kuchora michoro through autocad kuprovide design ya hizo kaz na mengne mengi cause also I create boq za kuomba tender nest na tunapata na 2nafanya
 
Back
Top Bottom