Mkuu kwa hali ya bongo ilivyo sioni kama ni vema kusomea kitu unachokipenda wakati hakina demand, nina rafiki alikuwa anapenda mambo ya bima akasomea insurance, kahangaika sana baada ya kuhitimuYaani yupo interested na kitu kipi Computer, majengo, magari au machines mbalimbali?
Anataka aanze safari ya kusomea taaluma mapema,Wengi watoto wa vile wanakuwaga waoga wa kupiga msuli wa advance kafaulu kwa kusolve past papers na mwalimu wake
KUKOSEKANA KWA VYUO VINGI VYA AFYA NDO KUNAFANYA BADO ADVANCE IENDELEE KUPATA HEADLINES LAKINI MZANI UKIHAMA NA VYUO VIKAONGEZA UDAHILI WA EQUIVALENT ( DIPLOMA HOLDERS) HAKIKA HAO ADVANCE WATAKUWA HAWANA CHAO.NAKUSISITIZA,ASIENDE ADVANCE
Acha uongo, Form 4 ndio wana uwanja mpana zaidiAcha kumpotosha dogo. Kutaka kujifunga kwenye engineering ni upuuzi. Aende Advance akaze atoke na cheti kizuri. Akiwa na cheti cha six kizuri atakuwa na uwanja mpana wa kusoma anachotaka. Pia hadi amalize six atakuwa na akili za kiutu uzima zaidi kujua kipi chenye market zaidi.
Bachelor degree in artificial intelligence (AI).
Utanishukuru!
Umesoma uzi?Bachelor in Robotics Engineering!
Kuna siku utanishukuru!
Advance ni kupoteza mudaKwanini?
Nimempa future plan,sio sasaUmesoma uzi?
Form Four anasomaje bachelor?
Ina tolewa chuo Gani hii?Bachelor degree in artificial intelligence (AI).
Utanishukuru!
Focus ya kama ni Ajira, Hamna WA kutoa ushauri wenye guarantee...Ila kama target yake inategemea na wakati huo, basi nashauriKuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo kwenye masomo ya Science,
Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo
Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee,
hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida kupata fursa mfano petroleum engineering, agriculture engineering, textile engineering, environment engineering, n.k.
Nimefanya research kwa kuanzia maarufu angalau kuna matumaini ni Computer Engineering, Mechanical Engineering, Electical Engineering na nyingine unaweza kunishauri
Naombeni ushauri kwa kuzingatia tatizo la ajira, aende kusomea kitu ambacho angalau kina soko, pia kuwe kuna matangazo ya ajira mara kwa mara.
Zamani form 4 mtu anakuwa na maamuzi hata ya kupewa mke na kupewa uongozi. Ukifatilia zamani huyu wasira alianza uongozi mdogo kabia.Acha kumpotosha dogo. Kutaka kujifunga kwenye engineering ni upuuzi. Aende Advance akaze atoke na cheti kizuri. Akiwa na cheti cha six kizuri atakuwa na uwanja mpana wa kusoma anachotaka. Pia hadi amalize six atakuwa na akili za kiutu uzima zaidi kujua kipi chenye market zaidi.