Physics-B, Chemistry-C na Biology-C. Kuna kozi gani ambazo ni za afya mhitimu huyu anaweza jaza kwa mwaka huu kulingana na competition?

Physics-B, Chemistry-C na Biology-C. Kuna kozi gani ambazo ni za afya mhitimu huyu anaweza jaza kwa mwaka huu kulingana na competition?

Ya wanyama na Binadamu
Ya wanyama iko specific mbona ukiingia SUA unapiga Animal health and production, BVM miaka 5 au animal science then ukimaliza unarudi mtaani kupiga kazi.
 
1.MD
2.Nursing and midwifely
3.Bsc in physiotherapy

Akasome hizo hapo juu ila ahakikishe anaomba vyuo vya private tu ili asipoteze mwaka mzima akiwa nyumbani(Maana wadogo mnafaulu sana siku hizi mpaka raha).

Achana na kozi kama medical laboratory na pharmacy kwanza(najua nini nimeandika).

Asante.
 
Aachane na degree ya Nursing kabisa, akae mbali nayo, tena awe mbali nayo sana
 
Cut off points zitakua juu sana mwaka huu.. watoto wamefaulishwa

Huyo wala asiombe.. afanye mengine tu.
Utakuja nishukuru baadae
 
Back
Top Bottom