Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hio B ya physics bora ingekuwa ya chemistryNaomba msaada wa mawazo
Ya wanyama iko specific mbona ukiingia SUA unapiga Animal health and production, BVM miaka 5 au animal science then ukimaliza unarudi mtaani kupiga kazi.Ya wanyama na Binadamu
Muhimbili mwisho 5 mvulana na msichana mwisho 6.Jitahidi uingie Muhimbili, ni pasi nzuri. Labda ukute A na B zipo nyingi sana.
Muhimbili mwisho ni 1 ya 4 bro.Jitahidi uingie Muhimbili, ni pasi nzuri. Labda ukute A na B zipo nyingi sana.
Hiyo ni 2022 kurudi nyuma mkuu. Saivi mwisho ni 1.4 for boys girls 1.5.Muhimbili mwisho 5 mvulana na msichana mwisho 6.
Bach Physiotherapy ndio habari ya mjini kwa sasa...Naomba msaada wa mawazo
BCC hongera mdogo wangu ,kazania Ndoto yako fanya utafiti kujua vyuo gvn na private ,MD (Udom na kcmc),Medicine ,Lab, Pharmacy (Udom),Naomba msaada wa mawazo
Ushampaka Futa.Jitahidi uingie Muhimbili, ni pasi nzuri. Labda ukute A na B zipo nyingi sana.
Miaka inaenda kasi 2007 muhimbili walichukua Hadi three ya 13 mwaka nilomaliza Mimi Hadi two zilienda MD MUHAS...Muhimbili mwisho 5 mvulana na msichana mwisho 6.
Aachane na degree ya Nursing kabisa, akae mbali nayo, tena awe mbali nayo sana1.MD
2.Nursing and midwifely
3.Bsc in physiotherapy
Akasome hizo hapo juu ila ahakikishe anaomba vyuo vya private tu ili asipoteze mwaka mzima akiwa nyumbani(Maana wadogo mnafaulu sana siku hizi mpaka raha).
Achana na kozi kama medical laboratory na pharmacy kwanza(najua nini nimeandika).
Asante.
Miaka inaenda kasi 2007 muhimbili walichukua Hadi three ya 13 mwaka nilomaliza Mimi Hadi two zilienda MD MUHAS...