Pia unaweza ukamkiss lakini mwenzako bado aliona ni mapema sana

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Your browser is not able to display this video.


Ni kuhusu mtoko wa kwanza ule (first date)

Mtoto umemcheki umempenda na kumtamani pia , umepanga nae miadi umtoe out kwenye date.

sasa vile unamrudisha kwao, kuna ile hali ya kuagana kwenye mtoko wa kwanza kuna ishu ya ku kiss na mara nyingi inabidi mwanaume ndio umpige busu.

unaweza kudhani ni mapema sana ukapotezea, ila mwenzako alikuwa tayari na akaona humpendi.

Pia unaweza ukamkiss lakini mwenzako bado anaona ni mapema sana maana ndio kwanza ni siku ya kwanza ya introducion, hapa pia inaweza kuwa tatizo.

tupe uzoefu wako.
 
Mpk shule zfunguliwe tutashuhudia meng sanaa
 
Kama una hela umbusu usimbusu ni mamoja tu. Halafu haya mambo waachieni wazungu wenye principles zao. Huku Misungwi niliko haya mambo hayapo hata huko Bongo labda mademu wa Masaki na Oysterbay...ila Mbagala huko ndani ndani sidhani [emoji16][emoji16]
 
Ila hakikisha umesugua Sana ulimi kwa colgate...maana wanaume tunaongoza kunuka midomo kuliko mademu
 
Uzungu + Mchanganyiko wa Kiswahili umekuja kuharibu mapenzi. Eti "first date" ya Konyooo!

Mimi kwangu hakuna first date wala last date hiyo siku umeridhia kukutana na mimi kila kitu kinafanywa hapo hapo na tunaanza na gia kubwa.

Mambo ya kuanza kusubiriana ni uzungu ambao haufanyi kazi kwenye damu ya Kiafrika.
 

Dah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kama una hela umbusu usimbusu ni mamoja tu. Halafu haya mambo waachieni wazungu wenye principles zao. Huku Misungwi niliko haya mambo hayapo hata huko Bongo labda mademu wa Masaki na Oysterbay...ila Mbagala huko ndani ndani sidhani [emoji16][emoji16]

Hata huku kwetu kimara bonyokwa hatuna hayo[emoji28][emoji28]
 
Dah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Juzi rafiki yangu mmoja alinipa taarifa kuwa kamtoa out demu ambaye wameanza naye mahusiano ya maneno (mahusiano ya maneno ni kama hayo yenye kuwa na first date) sasa akazunguka naye huko baharini baadae nikamuuliza vipi umepiga mzigo akasema eti ilikuwa ni outing tu mzigo siku nyingine.

Nilitetemeka sana, ningekuwa ni mimi hata kwa kubaka ila lazima aliwe. Uzungu unatuharibia wanawake.
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ni huzuni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…