sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni kuhusu mtoko wa kwanza ule (first date)
Mtoto umemcheki umempenda na kumtamani pia , umepanga nae miadi umtoe out kwenye date.
sasa vile unamrudisha kwao, kuna ile hali ya kuagana kwenye mtoko wa kwanza kuna ishu ya ku kiss na mara nyingi inabidi mwanaume ndio umpige busu.
unaweza kudhani ni mapema sana ukapotezea, ila mwenzako alikuwa tayari na akaona humpendi.
Pia unaweza ukamkiss lakini mwenzako bado anaona ni mapema sana maana ndio kwanza ni siku ya kwanza ya introducion, hapa pia inaweza kuwa tatizo.
tupe uzoefu wako.