Picha: A new glamorous look of Hamisa Mobetto

Utumwa upi hapo sasa?? Kama mtu anafanania na Europeans au Asians tusiseme sababu ya kuogopa kuwa Watumwa wa fikra?? In this photograph does Hamisa resembles an African look??

Kama wewe unafikiri nilichoandika ni Utumwa, its up to you. When it comes to pictures every person has their own perception.
Ni utumwa na ulimbukeni per se. Usijibaraguze! You think it is your perception but I would assure you... your perception has been compromised by mental slavery!
 
Very true
 
Kinachokusumbua wewe ni "wivu", tena ni "wivu wa kike". Ingekuwa wewe ndiye Hamisa au unafanana na yeye wala usingetokwa na povu kwenye hii post.

I am fully aware that Hamisa is African, but it is a fact that she resembles a Caucasian, especially in that photograph. C'mon man, stop being a hater and be real!
 
My God, my God, My God. Wivu wa nini mazee! Nakuapia (japo mimi ni mwanamme) hata ningekuwa mwanamke siwezi kutamani kuwa kama huyo mama hata siku moja. Never. Ana nini cha ziada zaidi ya kudanga na kuamini waganga. Siwezi kutamani kuwa mswahili hata siku moja katika maisha yangu.
 
Unaona sasa, kumbe wewe una matatizo yako binafsi na Hamisa, sisi hatuzungumzii tabia zake au matendo yake, hapa tunajadili "muonekano" wake katika hiyo picha hapo juu. Hayo mambo ya "uswahili" sijui "uganga" ni wewe unajua na siyo ajenda ya mleta mada.
 
Unaona sasa. Kumbe unadhani nina tatizo naye. Mimi nina tatizo na WEWE. Nimeku challenge wewe kwa mindset yako ya kitumwa! Kwenye picha amependeza sana. Hili sina tatizo nalo. Na tabia zake (na hawa kina mama wengi wa kitanzania wanaodanga maisha) sizipendi. Sijaku challenge kwa sbb umesema ni mzuri au kapendeza. Mbona unahamisha magoli mazee!
 
Back
Top Bottom