ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Fact walahiUsimrudie Baba Dylan mwanaume anaekudhalilisha move on girl.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact walahiUsimrudie Baba Dylan mwanaume anaekudhalilisha move on girl.
Hapo ndio anapoharibu; anajibenua kupita kiasi.
Mtajuaje kama anachoTatizo anajibinua sana
Mkuu, hii lugha gani umeandika? Ama ulikua na haraka ya ku comment?Asidhindane na zari walahi
Afanye yake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]warumi nimekua nakuheshimu sana dada yangu/mdogo wangu ila kwa hili siwezi kulikalia kimya,kwa sababu unajua kabisa umbea ni sunna kwa maeneo kama Tandale kwa mfuga mbwa,Mwananyamala kwa bi nyau,buguruni n.k na siku zote umbea umekuwa ukinoga zaidi kwa ukiongelewa kwa lugha adhimu ya kiswahili hasa kile cha kabila langu la kizaramo,umeamua kuwafumba wambea uchwara wote(wadada wenzio sina uhakika na mamen) kwa kuweka kimamtoni kwenye thread kana kwamba huu umbea unawahussu zaidi watoto wa upanga,masaki,oysterbay,hili hali ndugu zangu wa uswazi wakibaki wametoa macho kama wamepoteza shilling mia gizani,[emoji23],kwa hili nakulaumu sana hujawatendea haki wambea uchwara kama kina Siwatu Mafirigisi,Kidawa,Rhoda chechezamoto maana wamebaki wametoa macho tu kama wameona kuku kapanda baiskeli,hii tabia sio nzuri sikufichi wenzio wamebaki wakijisemea tu "MH huyu nae"
Kalivyo kapumbavu + akili za kujazwa na kale kamtu kembamba= ataanza shindana za mgandaAsidhindane na zari walahi
Afanye yake!
Zari ni leval nyingine kabisa walahiKalivyo kapumbavu + akili za kujazwa na kale kamtu kembamba= ataanza shindana za mganda
Zari ni leval nyingine kabisa walahi
Na kama ni kweli kampata Yule mkongo, uwiii jackpot walahi
Aiisee kumbe...Ukikutana nae hajajikarabati utakimbia
Haha ivi hujishtukii komenti yako haifanani kabisa na komenti zote humu
Imejitenga yenyewe
Mkuu, thanks so much.Haa Haa haa. Utumwa na ufukara wa akili ni mbaya kuliko mabaya yote ya ulimwengu huu! Caucasian? What happened to the African Classical lady look?
Ahhh haaaa walahiHahahaha
Utanilipa sh ngap🤣🤣🤣
warumi nimekua nakuheshimu sana dada yangu/mdogo wangu ila kwa hili siwezi kulikalia kimya,kwa sababu unajua kabisa umbea ni sunna kwa maeneo kama Tandale kwa mfuga mbwa,Mwananyamala kwa bi nyau,buguruni n.k na siku zote umbea umekuwa ukinoga zaidi kwa ukiongelewa kwa lugha adhimu ya kiswahili hasa kile cha kabila langu la kizaramo,umeamua kuwafumba wambea uchwara wote(wadada wenzio sina uhakika na mamen) kwa kuweka kimamtoni kwenye thread kana kwamba huu umbea unawahussu zaidi watoto wa upanga,masaki,oysterbay,hili hali ndugu zangu wa uswazi wakibaki wametoa macho kama wamepoteza shilling mia gizani,[emoji23],kwa hili nakulaumu sana hujawatendea haki wambea uchwara kama kina Siwatu Mafirigisi,Kidawa,Rhoda chechezamoto maana wamebaki wametoa macho tu kama wameona kuku kapanda baiskeli,hii tabia sio nzuri sikufichi wenzio wamebaki wakijisemea tu "MH huyu nae"
Hivi kumbe huwa mnaishi kwa kutamani kuwa fulani?My God, my God, My God. Wivu wa nini mazee! Nakuapia (japo mimi ni mwanamme) hata ningekuwa mwanamke siwezi kutamani kuwa kama huyo mama hata siku moja. Never. Ana nini cha ziada zaidi ya kudanga na kuamini waganga. Siwezi kutamani kuwa mswahili hata siku moja katika maisha yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yuko vizuri cha muhimu tu video zake zisivuje