Picha: A new glamorous look of Hamisa Mobetto

Habari kama hizi pasipo kutumia kiswahili hazinogi
 
warumi nimekua nakuheshimu sana dada yangu/mdogo wangu ila kwa hili siwezi kulikalia kimya,kwa sababu unajua kabisa umbea ni sunna kwa maeneo kama Tandale kwa mfuga mbwa,Mwananyamala kwa bi nyau,buguruni n.k na siku zote umbea umekuwa ukinoga zaidi kwa ukiongelewa kwa lugha adhimu ya kiswahili hasa kile cha kabila langu la kizaramo,umeamua kuwafumba wambea uchwara wote(wadada wenzio sina uhakika na mamen) kwa kuweka kimamtoni kwenye thread kana kwamba huu umbea unawahussu zaidi watoto wa upanga,masaki,oysterbay,hili hali ndugu zangu wa uswazi wakibaki wametoa macho kama wamepoteza shilling mia gizani,[emoji23],kwa hili nakulaumu sana hujawatendea haki wambea uchwara kama kina Siwatu Mafirigisi,Kidawa,Rhoda chechezamoto maana wamebaki wametoa macho tu kama wameona kuku kapanda baiskeli,hii tabia sio nzuri sikufichi wenzio wamebaki wakijisemea tu "MH huyu nae"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kalivyo kapumbavu + akili za kujazwa na kale kamtu kembamba= ataanza shindana za mganda
Zari ni leval nyingine kabisa walahi
Na kama ni kweli kampata Yule mkongo, uwiii jackpot walahi
 
Haa Haa haa. Utumwa na ufukara wa akili ni mbaya kuliko mabaya yote ya ulimwengu huu! Caucasian? What happened to the African Classical lady look?
Mkuu, thanks so much.
Exactly what I had in my mind.
It seems to him an African lady can not be stunningly beautiful. What a shame!
 
warumi nimekua nakuheshimu sana dada yangu/mdogo wangu ila kwa hili siwezi kulikalia kimya,kwa sababu unajua kabisa umbea ni sunna kwa maeneo kama Tandale kwa mfuga mbwa,Mwananyamala kwa bi nyau,buguruni n.k na siku zote umbea umekuwa ukinoga zaidi kwa ukiongelewa kwa lugha adhimu ya kiswahili hasa kile cha kabila langu la kizaramo,umeamua kuwafumba wambea uchwara wote(wadada wenzio sina uhakika na mamen) kwa kuweka kimamtoni kwenye thread kana kwamba huu umbea unawahussu zaidi watoto wa upanga,masaki,oysterbay,hili hali ndugu zangu wa uswazi wakibaki wametoa macho kama wamepoteza shilling mia gizani,[emoji23],kwa hili nakulaumu sana hujawatendea haki wambea uchwara kama kina Siwatu Mafirigisi,Kidawa,Rhoda chechezamoto maana wamebaki wametoa macho tu kama wameona kuku kapanda baiskeli,hii tabia sio nzuri sikufichi wenzio wamebaki wakijisemea tu "MH huyu nae"

Leo binamu ilibidi niwafikirie wambea wenzangu wa masaki na Ulaya🤣🤣🤣, si unajua Mimi mbea wa kimataifa🤣
 
Chombo hicho
%E2%80%AA%2B255%20717%20220%20574%E2%80%AC%2020181027_130600.jpeg
 
My God, my God, My God. Wivu wa nini mazee! Nakuapia (japo mimi ni mwanamme) hata ningekuwa mwanamke siwezi kutamani kuwa kama huyo mama hata siku moja. Never. Ana nini cha ziada zaidi ya kudanga na kuamini waganga. Siwezi kutamani kuwa mswahili hata siku moja katika maisha yangu.
Hivi kumbe huwa mnaishi kwa kutamani kuwa fulani?
 
Wanapata shida kweli kujibinua ili kalio lionekane lipo limevimba.
 
Back
Top Bottom