Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

kaenda kama mtoto wa Rais? au kuna makosa gentleman?

akina Trump wanaenda ziarani duniani mpaka na wakwe zao na vitukuu vyao, achilia mbali watoto na wajukuu, sembuse mtoto moja tu wa Rais wa Tanzania?

chuki ni kitu mbaya sana aise gentleman, siku hizi kumbe ndio maana mtu anaweza kujikwaa na kuanguka na kukata roho, kumbe ni kwasababu tu kajaza chuki binafsi useless moyoni mwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…