Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

Kuna baadhi ya hoja zinaonekana kuwa dhaifu sana. Je, Rais kusafiri na mtoto wake imekuwa kosa Mbona ni jambo la kawaida ambalo limewahi kufanywa na viongozi wengine duniani?

Abdul kusafiri pamoja na mama yake kuna watu.wameibua mjadala mkubwa, lakini wengi wanajiuliza tatizo hasa liko wapi. Viongozi wengi wa dunia wamewahi kufanya ziara rasmi wakiwa na watoto wao.
Mfano, Barack Obama aliwahi kufanya ziara mbalimbali akiwa na familia yake hata hapa Tanzania alikuja na wale Mabinti.zake,

Donald Trump ambaye anatoka katika nchi mnayosema ni Superpower pia ameonekana katika baadhi ya shughuli na ziara akiwa na wanafamilia wake watoto wake hata mpwa wake na.wanafanya kazi za kidiplomasia[/b]
 
Donald Trump ni rais corrupt.
Mifano ya rejea kuhusu maadili ya uongozi inapaswa kuwa Mwl. Nyerere.
 
Sasa hapo ni Magogoni?? JK na kusafiri kwake kote hajawahi ambatana na Riz1 kwenye ziara zake za kiserikali.

Kwanini huyu wa sahivi??

siyo kweli, tena yeye walikuwa wanasafiri karibia familia nzima sema tu tofauti na huyu labda yeye alikuwa na kamshipa kadoogo ka aibu hivyo walikuwa hawajichanganyi hivyo kwenye mapicha official lkn kwenye hizo safari zake tulikuwa tunarushiwa mapicha wakifanya shopping manhattan USA wakati baba yao akiwa huko ziarani.

muslims wa tanzagiza hakuna wa afadhali …
 
Huyu dogo mama Yake anajaribu kumuweka karibu na mifumo lakini mtoto anaonekana bado hajaelewa vizuri namna ya kutumia mazingira anayowekewa kwaajili ya kumtambulisha duniani, dogo ana Ego...Dogo kama huyu utashangaa atakuja kuhangaika na Ubunge, alitakiwa ajiweke mbali Sana upuuzi & spotlight, awe chimbo amejichimbia akitengeneza mazingira, hizi deals za kupiga pesa za umma zina mwisho.
Huo mwisho ukifika si atakuwa amefanya uwekezaji mzito?
 
Kulikua kuna kongomano lile la Cop -28 , Dubai mwaka 2023.

Nchi zinazojitambua zilileta watu wachache lakini kimkakati.

Tanzania ilikua na watu wengi sana , ikabidi watu watafute ile list kuverify kumbe kuna watu waliingiza vimada wao na washkaji wakazurure baada ya kuona ni fursa nyepesi tu kwa kodi za watanzania na hakuna cha maana chochote walichorudisha kwa watanzania.
 
Sasa hapo cha ajabu nini au basi🏃🏃🏃
 
... Abdul ni 'bodyguard' namba moja wa mama yake, ndiye anayefahamu matatizo ya kiafya na kisaikolojia ya mama yake kuliko hata madaktari wake. ... kuna ubaya gani akiwa sehemu ya msafara, hata kwa gharama sisizoihusu serikali!!?
TUFANYE MIJADALA YENYE TIJA KUJIONGEZEA 'CREDIBILITY'!
 
I can't fault her for this. Wazazi walio wengi wangefanya the same.
 
siyo kweli, tena yeye walikuwa wanasafiri karibia familia nzima sema tu tofauti na huyu labda yeye alikuwa na kamshipa kadoogo ka aibu hivyo walikuwa hawajichanganyi hivyo kwenye mapicha official lkn kwenye hizo safari zake tulikuwa tunarushiwa mapicha wakifanya shopping manhattan USA wakati baba yao akiwa huko ziarani.

muslims wa tanzagiza hakuna wa afadhali …
Sasa umeona utofauti hapo wee mwenyewe.
 
FB_IMG_1780719320322.jpg

Teja kabisa hili
 
Back
Top Bottom