Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

Huyu dogo mama Yake anajaribu kumuweka karibu na mifumo lakini mtoto anaonekana bado hajaelewa vizuri namna ya kutumia mazingira anayowekewa kwaajili ya kumtambulisha duniani, dogo ana Ego...Dogo kama huyu utashangaa atakuja kuhangaika na Ubunge, alitakiwa ajiweke mbali Sana upuuzi & spotlight, awe chimbo amejichimbia akitengeneza mazingira, hizi deals za kupiga pesa za umma zina mwisho.
 
Sasa hapo ni Magogoni?? JK na kusafiri kwake kote hajawahi ambatana na Riz1 kwenye ziara zake za kiserikali.

Kwanini huyu wa sahivi??
Una uhakika? Ziara ya JK kwenye mazishi ya mfalme wa aman alikua na familia Yote

Trump alinatembea na Binti yake kwenye Ziara zake baaadhi

Hatumkibali Abdul lkkn sio geni Hilo kwa baadhi ya Viongozi
 
Back
Top Bottom