Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Ndiyo mwenye DP World huyo; shenzy zake
Ndiyo mwenye DP World huyo; shenzy zake
Sasa huyo si ni mama yake! Mnataka asiende na mama yake kisa ni Rais au?
Angeenda na mumewe?Ile sio ziara binafsi
Ule uongoz ni wa familia
Pumba tupu,huko Uganda huyo bwana aliongoza ujumbe kutoka Tz kukutana na Kaguta bila hata uwepo na huyo Mamaake!!Nguvu ya Mama na mwanae, kutengenisha mama na mtoto wake wa kiume haiwezekani, let's brace for enhanced Russo-Tanzania relationships and be Positive.
Angeenda na mumewe?
Unataka umuone mume wa mtu Ili iweje?..ukunwe donda ndugu!?hivi hata anaye kwanza? sijawahi kumuona popote naye tangia amechukuwa uraisi, hata picha tu sijawahi kuioan, si mahafali au hata kuapishwa kwake sikumuona popote, its really unusual …
Mbona Marais wa Marekani husafiri na watoto wao? Hujawahi ona AIRFORCE ONE?
Sawa sawa MkuuMbona Marais wa Marekani husafiri na watoto wao? Hujawahi ona AIRFORCE ONE?
Sio Washington?!JK.aliwahi kumtambulisha Rizdhwani Kwa Obama katika Ikulu ya Magogoni
Unataka umuone mume wa mtu Ili iweje?..ukunwe donda ndugu!?
HIi familia hata aibu hawana?
Donda ndugu linawasha, unataka uone kama mume wa Samia atafaa kulikuna!?typical muslim wa tanzagiza, mdomo mchafu ndiyo maana mwarabu aliwaita washenzi …
Mtoto wa mama huyo! Unauliza tena kafuata nini? Yajayo yanafurahisha.