Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

Nchi imekuwa ya ovyo, pesa kwa mabilioni ya dollar, watanganyika wapo kimya tu, pesa zinaibwa na wananchi wanaohoji wanauawa na huyo Abdul na kundi lake. Nchi imekuwa kama ya familia ya KIZIMKAZI.

Tumeongea vya kutosha, siku Samia anaondoka hapo, Mabilioni ya dollar yatakuwa yameondoka. Kazi yetu ni kusema, hatuogopi.....

Endeleeni kunyamaza huko....Mkishtuka mishahara itakuwa imeota mbawa. Huyo Samia ni Pyschopath, pia huyo mwanawe. Ameshaona utamu wa kuua watu, ataendelea tu, unless kifanyike kitu.
 
Huyo hakuna shida, ila huyo Duli amekwenda kama nani, mtoto wa Samia? Tuambiwe kama ana cheo cha siri nchi hii.
Katika familia ya viongozi wasio kuwa na aibu ni hii. Wanu waziri, mchengerwa waziri, Abdul nayeye cheo chake ni zaidi ya makamu wa raisi. Bado mshenga sijui mtoto wa shangazi na mjomba waliojaa kwenye serikali yake
 
CHADEMA tu ndio imebaki mkombozi wetu. Lakini itakuwa shida sana kuwatoa kwenye comfort zone. Wazanzibar ndio wanaotawala Tanganyika, wao ndio wameshikilia nafasi nyeti katika vyombo vyote vya dola. Bila wananchi wote wa Tanganyika kuonesha wivu mkubwa kwa nchi yetu itakuwa shida kubwa sana
 
Chadema nao sio wa kuamini sana Kuna watu kama msigwa na wengi wengi tu walio jaa kwa sababu ya upepo
 
kaenda kama mtoto wa Rais? au kuna makosa gentleman? :pedroP:

akina Trump wanaenda ziarani duniani mpaka na wakwe zao na vitukuu vyao, achilia mbali watoto na wajukuu, sembuse mtoto moja tu wa Rais wa Tanzania?

chuki ni kitu mbaya sana aise gentleman, siku hizi kumbe ndio maana mtu anaweza kujikwaa na kuanguka na kukata roho, kumbe ni kwasababu tu kajaza chuki binafsi useless moyoni mwake:NoGodNo:
Urais sio mali ya familia upunguze ujinga.
 
Kweli shemeji?

I was joking shemela...

Hata hivyo Russia si nchi yenye bandari kubwa kwa sababu sehemu kubwa yenye bahari ipo upande wa kaskazini wa Siberia ambao una barafu karibu mwaka mzima...

Zilizopo ni ndogo ndogo huku bandari muhimu ikiwa ni "Port of Novorossiysk" iliyo kwenye bahari ndogo ya Black Sea...
 
ASante shem shem kwa darasa pia.
 
Back
Top Bottom