Picha: Ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, 'Land Cruiser' imeisha kabisa

Kitu cha STK 8339 hicho.
Sifa za madereva wa STK:
1. Hawajali speed limits
2. Sheria za barabarani haziwahusu
3. Trafiki hawajihangaishi kuwasimamisha hata wakivunja sheria
4. Wakigonga raia hawasimami labda gari yao iumie sana
5. Wanatumia no fake za magari yao
6. Muda wote wana haraka kwa hiyo wapo speed sana bila kujali watumiaji wengine wa barabara
7. Wakipata ajali wanataka kila raia awasaidie na kutaka huruma
 
Mbona ujaweka picha ya basi?




Hii video hapa chini haiusiani na hii ajali!

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…