Picha: Ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, 'Land Cruiser' imeisha kabisa

Picha: Ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, 'Land Cruiser' imeisha kabisa

Unadhani hatupendi/hawapendi?tunalazimika kushona suruali kulingana na kitambaa tulichonacho.
si inasemwa nchi ni tajiri? Haya sasa ijenge double road magari yasikutane uso uso kuepuka ajali kugongana kwa magari
 
Kuna gari moja ya serikali haijulikani walikuwa wanawahi nini, ilikimbizwa spidi kali, tena kwenye barabara ya vumbi. Huo mwendo ingeweza kutokea ajali mbaya sana na bosi kufa vibaya
 
Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya.

Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika juu ya madhara zaidi yaliyotokana na ajali hiyo.
View attachment 3324374View attachment 3324375
1746358213368-jpeg.3324376
Uwendashaji wa jamaa wenye gari zinaonza na S ni kama wanamkataba na barabara na sijui wanaobebwa kwenye hizi huwa wanawaza nini make ni kama hawamuoji au kumweleza chochote Dreva.
 
Kuna shida ya defensive driving na miundombinu mibovu ya barabara Tanzania.

Tunapaswa kuboresha miundombinu mingine kama speed trains, ndege nk ili traffic barabarani zipungue.

Kukiwa na route nyingi za ndege kufika maeneo mbalimbali itaondoa wingi wa watu kutumia mabarabara haya.
 
Kuna mambo matatu ninayohisi ni chanzo cha hiyo ajali kwenye hilo eneo maana ninalifahamu vizuri sana
  1. Kutokana na unyoofu wa barabara huenda mwenye Cruiser alikadiria vibaya umbali kabla ya kuovertake na hiyo Range ilishafungua calbulator zote ikawa vigumu kuipunguzia mwendo na kuikwepa
  2. Hiyo barabara ina pot-holes nyingi sana kwenye kingo zake huenda mwenye Cruiser alikwepa moja akazidi kuingia ndani
  3. Inawezekana kama ni alfajiri au giza walipigana full light hao
 
Hii ajali haijaripotiwa vizuri
  1. Hiyo Cruiser kwenye picha ya kwanza na ya pili zinaonekana ni tofauti, lakini eneo ni moja na muda wa picha ni huohuo
  2. Hilo bus halieleweki uhusika wake kwenye ajali hiyo maana nalo liko off-side

1746373328341.png

1746373366035.png

1746373400661.png
 
Hii ajali haijaripotiwa vizuri
  1. Hiyo Cruiser kwenye picha ya kwanza na ya pili zinaonekana ni tofauti, lakini eneo ni moja na muda wa picha ni huohuo
  2. Hilo bus halieleweki uhusika wake kwenye ajali hiyo maana nalo liko off-side

View attachment 3324629
View attachment 3324630
View attachment 3324632
Nadhani picha imepigwa mara 2 kwenye pande mbili za gari ambapo inaonekana upande mmoja umeharibika sana huku huu upande mwingine ukiwa umeharibika pia ila Bodi ikiwa imeshikilia. Ndo hivyo tena kila mleta taarifa anakwambia taarifa kamili itakuja alafu hakuna updates ndo maana uhusika wa bus haujaonekana
 
Asante sana mkuu
 
Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya.

Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika juu ya madhara zaidi yaliyotokana na ajali hiyo.
View attachment 3324374View attachment 3324375
1746358213368-jpeg.3324376
Serikali jengeni double roads Ili kiepusha ajali za uso kwa uso, viongozi mnakalia wizi tu, mnanunua malori na mabasi yatatembea kwenye njia gani? Kwakweli nyie mmekosa uzalendo kabisa.
 
Back
Top Bottom