Picha: Ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, 'Land Cruiser' imeisha kabisa

#7 wengi wa madereva wa hayo magari HAWANA HELA wakiharibu magari ya watu kwenye ajali wanalia lia na kuleta viburi. Tiini taratibu basi!
 
Unadhani hatupendi/hawapendi?tunalazimika kushona suruali kulingana na kitambaa tulichonacho.
Hayo mabarabara marefu ya kuunganisha mikoa kwa mikoa yapanuliwe yawe double road ili magari yasikutane uso kwa uso
 
Kila kitu tunasikia mama amefanya, mama amefanya. Mbona hapa hamsimi "Mama amefanya" SI tunaiona STK hapo?
 
Kila kitu tunasikia mama amefanya, mama amefanya. Mbona hapa hamsimi "Mama amefanya" SI tunaiona STK hapo?
 

Gari za serikali STM, STN, STL, STK, STJ, DFPA, DFP, SU, PT, JW, nk, hizi ndiyo zilikuwa zifungwe ving'amuzi spidi gavana.

Leseni za madereva hawa, ajira zao, nk vyote magumashi.

Wanahatarisha usalama wa wengine barabarani.
 
100% true hujawasingizia na ndivyo walivyo na muda mwingine haraka hiyo ukiifuatilia haikuwa kwa majukumu ya serikali ni binafsi
 
Gari za serikali STM, STN, STL, STK, STJ, DFPA, DFP, SU, PT, JW, nk, hizi ndiyo zilikuwa zifungwe ving'amuzi spidi gavana.

Leseni za madereva hawa, ajira zao, nk vyote magumashi.

Wanahatarisha usalama wa wengine barabarani.
100% true na usishangae kuambiwa muda mwingine wanakimbia kuwahi starehe maana wengi wao siku hizi ni vijana wadogo labisa
 
Hao stk......su........sijui St nini nini nini fyekelea mbali mpaka waishe...........maana yanafurahia kuongezewa mshahara ili yazidi kuharibu raia wasio na hatia kwa masilai ya watu wachache..........
 
Maombi yetu yako pamoja na wale waliokuwa kwenye gari binafsi na basi tu

Hao wa STK watajijua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…