si inasemwa nchi ni tajiri? Haya sasa ijenge double road magari yasikutane uso uso kuepuka ajali kugongana kwa magariUnadhani hatupendi/hawapendi?tunalazimika kushona suruali kulingana na kitambaa tulichonacho.
Not always serikali. Subir report za uchunguziChanzo cha ajali ni mwendokasi gari ya serikali maana yanakwenda kasi sana
Uwendashaji wa jamaa wenye gari zinaonza na S ni kama wanamkataba na barabara na sijui wanaobebwa kwenye hizi huwa wanawaza nini make ni kama hawamuoji au kumweleza chochote Dreva.Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya.
Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika juu ya madhara zaidi yaliyotokana na ajali hiyo.
View attachment 3324374View attachment 3324375
Nami nimehisi hivyohivyoMi sio mtaalamu ila lazima STK ndio chanzo.
Na hilo bus vipi tena?Mbona ujaweka picha ya basi?
View attachment 3324385
Hii video hapa chini haiusiani na hii ajali!
View attachment 3324392
Sure.ukikaa Morogoro road hadi unaogopa wanakimbia kama wehuChanzo cha ajali ni mwendokasi gari ya serikali maana yanakwenda kasi sana
Mbona kibopa wa serikali umempa pole kidogoSijui RR ina bima kubwa? Pole kwa mshtuko dereva wa RR na kama seat ya nyuma kulikua na abiria poleni.
STK na boss wako na nyie poleni kidogo.
Nadhani picha imepigwa mara 2 kwenye pande mbili za gari ambapo inaonekana upande mmoja umeharibika sana huku huu upande mwingine ukiwa umeharibika pia ila Bodi ikiwa imeshikilia. Ndo hivyo tena kila mleta taarifa anakwambia taarifa kamili itakuja alafu hakuna updates ndo maana uhusika wa bus haujaonekanaHii ajali haijaripotiwa vizuri
- Hiyo Cruiser kwenye picha ya kwanza na ya pili zinaonekana ni tofauti, lakini eneo ni moja na muda wa picha ni huohuo
- Hilo bus halieleweki uhusika wake kwenye ajali hiyo maana nalo liko off-side
View attachment 3324629
View attachment 3324630
View attachment 3324632
Asante sana mkuuNadhani picha imepigwa mara 2 kwenye pande mbili za gari ambapo inaonekana upande mmoja umeharibika sana huku huu upande mwingine ukiwa umeharibika pia ila Bodi ikiwa imeshikilia. Ndo hivyo tena kila mleta taarifa anakwambia taarifa kamili itakuja alafu hakuna updates ndo maana uhusika wa bus haujaonekana
Serikali jengeni double roads Ili kiepusha ajali za uso kwa uso, viongozi mnakalia wizi tu, mnanunua malori na mabasi yatatembea kwenye njia gani? Kwakweli nyie mmekosa uzalendo kabisa.Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya.
Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika juu ya madhara zaidi yaliyotokana na ajali hiyo.
View attachment 3324374View attachment 3324375
Sisi wa mkoani tunaoagiza magari Japan yatatufikiajeDuuh.....poleni wafiwa.
Tupandeni mabasi mazee hivi vigar tuzunguke navyo mijini tu.