PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

Inatisha sana. Mungu awalaze pema peponi marehemu. Ameni!
 
awalaze maali walipo.jichagulia. Tuache lugha za kumfundisha mungu,kazi je! Ikiwa mareemu alimkataa,mungu na kutegemea vibuyu na amekufa na vibuyu vyake? Je mungu yupo hapo? Kila mtu atalazwa maali alipojichagulia. No fojari.

Mungu sio mwanadamu na ndio maana hana shirika na mtu kwenye hukumu, watu kama nyinyi mnapenda sana kutoa hukumu na mara nyingi mnahisi nyinyi mpo sahihi, huwa nacheka sana! Mungu ni mkuu na anasikiliza watu wake kama tunamwomba kwa imani kuu anawarehemu wote!
 
Ni tukio baya sana, hii inatokea baada ya marekebisho makubwa kufanyika kwenye hii barabara!
 
Strictly carry NO PASSANGER!!!...RIP wanne
 
Pcha mbili za mwisho zimenitoa machozi
RIP Marehemu wote
 
Kuna dogo mmoja ni utingo wa magari makubwa ya kwenda DRC, aliniambia kwamba walikuwa wakifika huko katikati msituni dereva wake anamuachia aendeshe gari, huku (dereva) anazama kwenye siti ya nyuma yenye godoro na kuendelea kuingiliana na mwanamke
 
Mungu ataiweka mahali roho yake mahali pema peponi Amen
 
Chanzo cha ajli ni gari lilifeli break, wala sio kwa sababu barabara ni mbaya hapo

R.I.P Serikali watoe kandarasi ya kufanyia marekebisho ya kutosha sehemu korofi kama Sekenke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…