PONGONYOSO
Member
- Jan 8, 2017
- 98
- 79
Mm avatar yangu na jina vinasadifu sana nilivyo naweza avatar yangu inamaana sana kwangu ,kwanza mm napenda vitu vizuri na vikubwa every time na fikiri vikubwa ,jina la pongonyoso ninamaanisha ni mtu mjinga asiyejua but hapo ni kinyume chake kwa upande wangu.ni sawa na kile kitabu cha "A MAN OF THE PEOPLE" but in reality ni "AN ENEMY OF THE PEOPLE."kwahiyo avatar na jina vinauwezekano mkubwa sana wa kusadifu Tabia ya mtu.