Picha ama avatar na jina vinasadifu tabia na wajihi Wa mtu

Picha ama avatar na jina vinasadifu tabia na wajihi Wa mtu

Mm avatar yangu na jina vinasadifu sana nilivyo naweza avatar yangu inamaana sana kwangu ,kwanza mm napenda vitu vizuri na vikubwa every time na fikiri vikubwa ,jina la pongonyoso ninamaanisha ni mtu mjinga asiyejua but hapo ni kinyume chake kwa upande wangu.ni sawa na kile kitabu cha "A MAN OF THE PEOPLE" but in reality ni "AN ENEMY OF THE PEOPLE."kwahiyo avatar na jina vinauwezekano mkubwa sana wa kusadifu Tabia ya mtu.
 
Je pamoja na wengi kuweka picha zisizo zao na user name anuai kuna uwezekano Wa ganda la kitabu kusadifu maudhui
Mfano
Mjingamimi
Miss natafuta
Heaven sent
Smart911
Stable woman
Kapeace
Behaviorist
The bold
The boss
Etc
Kuna ukweli mwingi
 
Ila Dj Sepetu alijuaga sana kuichangamsha jf miaka ya 2016 na 20017.

Sidhani kama itajirudia tena ile jf mana kulikuwa na nyuzi za Interview ambazo zilikuwa hazitupiti 🤣🤣

Cc. ukhuty.
 
Back
Top Bottom