Picha: Angalia risasi ilivyomkosa Trump

Picha: Angalia risasi ilivyomkosa Trump

1000032336.jpg
 
Hii ni risasi iliyomkosa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump. Nawaza kule kugeuka geuka ndiyo kulimsaidia! Au mnasemaje CIA, FBI, MOSSAD na MI6 wa bongo??

View attachment 3042346

Source: Sky news.
Nilijollchojifunza ni aina ya usala walionao wenzetu na sio wa kubabaisha kabisa maana mpaka kufikia muda huu naandika tayar taarifa nyingi sana zmepatikana kuhusu eneo la tukio na namna lilivyofanywa na mtu alohusika na taarifa zake kila kitu ni wazi, hii inaonesha ukomavu na ubobezi lakin ni uwazi wa vyomba vya usalama bila shida jamaa nmewapa pongezi upande huo na kila mamlaka wapo wazi kuhusu tukio hilo jamaa tujifunze kwa wenzetu ukilinganisha matukio yalotokea ndan ya nchi yetu na wenzetu ushap katika utendaji tupo nyuma sana
 
Back
Top Bottom