Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Yupo makini kwa kazi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa askari.Askari anaitwa nani?
Amesahau kuvaa zile kaunda suti zao kama ya Musiba 😂Yupo makini kwa kazi yake
View attachment 2188085
Acha uongo huyo ni yule askari aliyekua anamwambia dereva aweke gari pembeni pale moroccoYupo makini kwa kazi yake
View attachment 2188085
usione ukazaniWe huoni alivyoelekeza gari? Kiaskariaskari.
Mada imekuja kama kejeli mnapaswa mjiongezeAcha uongo hili nitukio la jmaaa wa usalama ww taifa alimchomekea raia hapa anaamwambia aingie makumbusho kwenye ofisi zao hii thread iko hapa jf
Usije ukasababisha ajali aisee, maana kama Kuna gari Lina askari watatoka nduki.[emoji379][emoji379]Watu watawaza huenda ni Hamza!
Hapo siyo Posta,naliona jengo la Letisya tower,hapo ni Kijitonyama ScienceYupo makini kwa kazi yake
View attachment 2188085