Picha: Askari wa usalama aliyevaa kiraia akielekeza magari kwa makini mtaa wa posta mpya Dar es Salaam

Madereva wakikaidi kumtii itakuwa ni kosa kisheria?
 
Acha uongo hili nitukio la jmaaa wa usalama ww taifa alimchomekea raia hapa anaamwambia aingie makumbusho kwenye ofisi zao hii thread iko hapa jf
 
Mshamba fulani huyo hajui protocol una msumbua raia kitaa kisa unaendesha VIETEEEE? Atakuwa anajutia maamuzi yake sofar anachoma mahindi sehemu
 
Taarifa yako imekaa kimbea mbea tu.Wewe nan Amekwambia hyo ni askari alafu hpo ni kijitonyama cyo posta Khee! wewe wakuja nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…