Picha: Aunt Ezekiel apasuliwa na chupa kwa kugombea bwana

Picha: Aunt Ezekiel apasuliwa na chupa kwa kugombea bwana

tofali

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
4,010
Reaction score
3,419
uploadfromtaptalk1377710308127.jpgakiwa hospitaliuploadfromtaptalk1377710349005.jpg
 
Looohh! Wanagombania pesa! Mbona maskini huwa awagombaniwi kwani wao siyo mabwana?
 
kwamtoro wadada wa mjini hawana ya kufanya zaidi ya kugombania mabwana wanao waweka mjini
 
Last edited by a moderator:
uploadfromtaptalk1377711208068.jpguploadfromtaptalk1377711236389.jpgYVONE aliyempiga Aunt Ezekiel
 
Juzi kati nliona uzi unaozungumzia ndoa yake.....ndo ameshaachika au alikua anagombania bwana mdogo....
 
Akigombania bwana au akigombania PESA

Infact (kwa lafudhi ya kihaya) huyu si ndie aliolewa majuzi hapa kwa ndoa ya kifahari??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Daaah ugomvi wa chupa na viwembe sitaki....mkono kwa mkono kama wewe mwanamke.
Mambo yakutiana kum...aaaaa mwilini kisa!!!!
 
angekangoja kale katoto kamalize balehe vizuri na via vya uzazi vingekuwa vimekomaa, kakabaka katoto kawatu, mpaka kamestop kukua, sasa karudi bongo kusaka madushelele yenye chapa za TBS! na huyo yvone kama anataka bwana wa ukuni wake pekee si amuumbe wake amuweke kwenye pochi??? puuuuuuuuuuuuuu, jeff mwenyewe muuza sembe anadhani wake peke yake, wakati aunt ana mimba yake kubwaaaaaaaaaaaaa!

kama ana hasira ahamishe gesi toka mtwara aielete sinza mori, nikirudi jioni toka job niikute hm. mazacoke!! rubbish!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Waligombania hela sio dushelele,si unajua wanataka waonekane kwenye mikoko mikali mtaani,club kwa sana na kujiachia kila siku sasa bila ATM inayotema vizuri ataishi hapo mjini kwa raha kweli?
 
HAHAAA siku hizi watu hawagombei mabwana aibu yake hiyo

Huyu Jeff anaegombaniwa ana gegedo la dhahabu nini LOL!!!!!!!!
 
Waligombania hela sio dushelele,si unajua wanataka waonekane kwenye mikoko mikali mtaani,club kwa sana na kujiachia kila siku sasa bila ATM inayotema vizuri ataishi hapo mjini kwa raha kweli?

mbona yule mme wake Sunday wa kule Dubai pesa anazo tu,ndoa za siku hizi show off LOL!!!!!!!
 
Juzi kati nliona uzi unaozungumzia ndoa yake.....ndo ameshaachika au alikua anagombania bwana mdogo....

ndoa ipo sana,sema mume Dubai bidada Bongo kumbe mtoto wa kike anafata yake huku........,
 
Daaah ugomvi wa chupa na viwembe sitaki....mkono kwa mkono kama wewe mwanamke.
Mambo yakutiana kum...aaaaa mwilini kisa!!!!

ahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaa_miss strong...dada langu.
 
Back
Top Bottom