Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mke wa mtu ma club usiku anatafuta nini?izi ndoa za siku izi kweli doa
Waligombania hela sio dushelele,si unajua wanataka waonekane kwenye mikoko mikali mtaani,club kwa sana na kujiachia kila siku sasa bila ATM inayotema vizuri ataishi hapo mjini kwa raha kweli?
Juzi kati nliona uzi unaozungumzia ndoa yake.....ndo ameshaachika au alikua anagombania bwana mdogo....
mke wa mtu ma club usiku anatafuta nini?izi ndoa za siku izi kweli doa
Daaah ugomvi wa chupa na viwembe sitaki....mkono kwa mkono kama wewe mwanamke.
Mambo yakutiana kum...aaaaa mwilini kisa!!!!
ndoa za makaratasi siku hizi,show off aonekane nae kaolewa huh