Picha: AY na wasanii wengine wakiwa Ikulu ya Marekani

Wengi hapa mnaotoa comment za kumpongeza ay ndo nyienyie mmekua mkiikandia taasi ya urais hapa bongo kuwa jk kaishusha hadhi yake kwa kupenda kuwa na wasanii pamoja na watu wengine mnahisi hawafai kuonana na rais kwa mitizamo yenu.

Je kwa Obama tukio kama hili mnaweza kulitolea maoni gani?

Au ndo yaleyale ya double standards na kupinga kila kitu kwa sababu mmeamua kuwa wapinzani???

Inawezekana leo mkanithibitisha kuwa mnakuwaga hamna hoja za maana zaidi ya WIVU WA KIKE ndo uwasumbuao.

Tubadilike jaman tuache kupinga kila kitu. Ni jukumu la Rais kujishusha na kumuika na watu wa makundi yote badala ya kujifanya Mungu mtu.

AU NA OBAMA KAWA MSWAHILI???????
 

Mbona umepanic?
 
Mkuu sijapanic!, sorry U missunderstood me ningepanic nisinge "LOL" hapo juu, I didn't mean to mfyuu you!, I meant for it to spice up my comment,...thooory!

Heshima kwako mkuu!, I can't kukugambile mfyuuu in front of my wife wako!
kweRI JF kiboko hivii kwa nini tigo wasiiweke nayo tuwe tunabRows buRe........yaaani WTFJF buRe
 
Nyoooooo!! kwa status gani?......

Usipanic bro.

Ila mwanaume kusema nyoooo! Haijakaa vizuri mkuu...it's too girlish! I'm just sayin, sorry if you feel offended.
 
Mbona umepanic?

So kupanic ila nawaeleza ukweli nyi viumbe ni wanafiki sana.
Yaelekea nyie ndo mnamkubali mtu kimoyomoyo alaf mnazuga.,. Mwisho wa mnafiki ni aibu.
 
Ila mwanaume kusema nyoooo! Haijakaa vizuri mkuu...it's too girlish! I'm just sayin, sorry if you feel offended.

Kwani Matola ni mwanaume?..sikuzote huwa najua hii ID ni ya mmama
 
Last edited by a moderator:
siku hizi ikulu ya marekani ni kama ikulu ya bongo tu kila mtu anaweza kwenda.
Soon tutasikia Lulu, Masogange na Diamond nao wamealikwa

Hiyo itakua ni ikulu ndogo ya marekani nafikiriii
 
Angekuwa Naniliu basi hapa tungesikia Breaking newssssss!!! Kalagabao awa msanii wa kwanza Tanzania kuingia White house lol!!

Ungesikia anasema nataka kutoa corabo na Obama au Obama kanipenda sana kasema atanipa malia nimuoe, Wema tupa kule
 
Ungesikia anasema nataka kutoa corabo na Obama au Obama kanipenda sana kasema atanipa malia nimuoe, Wema tupa kule

Hahaaa Dina umeniacha hoi kweli ungesikia Obama kanipa Malia nimuoe lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…