Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Angekuwa yule tungeenda kumpokea JNIA
Wewe Karani wa Zitto umekuja kujificha huku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa yule tungeenda kumpokea JNIA
Lol Matola sisi wa kwa Ali Maua study tour zetu Bonde la msimbazi
Angekuwa Naniliu basi hapa tungesikia Breaking newssssss!!! Kalagabao awa msanii wa kwanza Tanzania kuingia White house lol!!
Wewe Karani wa Zitto umekuja kujificha huku?
Wengi hapa mnaotoa comment za kumpongeza ay ndo nyienyie mmekua mkiikandia taasi ya urais hapa bongo kuwa jk kaishusha hadhi yake kwa kupenda kuwa na wasanii pamoja na watu wengine mnahisi hawafai kuonana na rais kwa mitizamo yenu.
Je kwa Obama tukio kama hili mnaweza kulitolea maoni gani?
Au ndo yaleyale ya double standards na kupinga kila kitu kwa sababu mmeamua kuwa wapinzani???
Inawezekana leo mkanithibitisha kuwa mnakuwaga hamna hoja za maana zaidi ya WIVU WA KIKE ndo uwasumbuao.
Tubadilike jaman tuache kupinga kila kitu. Ni jukumu la Rais kujishusha na kumuika na watu wa makundi yote badala ya kujifanya Mungu mtu.
AU NA OBAMA KAWA MSWAHILI???????
kweRI JF kiboko hivii kwa nini tigo wasiiweke nayo tuwe tunabRows buRe........yaaani WTFJF buReMkuu sijapanic!, sorry U missunderstood me ningepanic nisinge "LOL" hapo juu, I didn't mean to mfyuu you!, I meant for it to spice up my comment,...thooory!
Heshima kwako mkuu!, I can't kukugambile mfyuuu in front of my wife wako!
Wewe Karani wa Zitto umekuja kujificha huku?
Nyoooooo!! kwa status gani?......
Usipanic bro.
Mbona umepanic?
Kwani Matola ni mwanaume?..sikuzote huwa najua hii ID ni ya mmama
siku hizi ikulu ya marekani ni kama ikulu ya bongo tu kila mtu anaweza kwenda.
Soon tutasikia Lulu, Masogange na Diamond nao wamealikwa
Angekuwa Naniliu basi hapa tungesikia Breaking newssssss!!! Kalagabao awa msanii wa kwanza Tanzania kuingia White house lol!!
Study tour za mama sambaya.....mashambani....mwe...ila nimemiss vituko vya shamba jamani......
Timbwili linakuaga instagram na zile timu zao..huwa nacheka sana kwa ujinga wao.
Ungesikia anasema nataka kutoa corabo na Obama au Obama kanipenda sana kasema atanipa malia nimuoe, Wema tupa kule
Muulize Kikwete mbona haendi Chile? Usipanic mkuu.
Ungesikia anasema nataka kutoa corabo na Obama au Obama kanipenda sana kasema atanipa malia nimuoe, Wema tupa kule