Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Zitto is very smart. Bila Chadema kufanya kazi na Zitto hawaponi kabisa! Lazima wakubali kurudi chini wawaunge mkono ACT walau kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo maalum.
Unachekesha kweli kweli, ACT wanaihitaji CHADEMA kuliko CHADEMA wanavyoihitaji ACT,fanya utafiti hadi mda huu ACT hawana uhakika wa kushinds jimbo lolote bara labda la Zitto kabwe,CDM hadi mda huu wana uhakika wa majimbo zaidi ya 20 kama kila kitu kitaamuliwa na Sanduku la kura.Kuhusu mgombea Urais,ni ukweli ulio wazi Membe hawezi kupata kura nyingi kumzidi Lissu kama wote watapitishwa na vyama vyao kugombea.
 
Nakuunga mkono kwa 100%
 
Mimi ndhani kuwa Zito anahitaji wabunge wawili au watatu kutoka huko kusini kumfuata Membe na wa Pemba watakaomfuata Maalim kwa sababu ya ruzuku. Unaona amekuwa anatumia muda mwingi sana huko kusini na Pemba kuliko jimboni mwake ambako hatujui kama kweli bado ana nguvu kama zamani maana hadi amepata wapinzani ndani ya chama chek.
 
Na wakifanya ujinga hawamu hii wameisha, wapinzani hawaji kuaminika tena.
 
Kweli nimeamini nguvu ya samaki ipo kwenye maji.
mheshimiwa ameishaanza kupauka.
 
Inakusaidia nini hata akipauka?
Kuna mambo mengine hayana faida wala hasara kwangu ,ila najifunza kitu.
Ningekuwa mpinzani,darasa la mwaka 2015 na yaliyoendelea baadaye mpaka sasa
ningekuwa nimejifunza kwamba sio kila ulichokuta kimetupwa jalalani kinafaa kuokotwa,
ukiokota bomu ,lisipokuua wewe litawaua wana familia.

Jifunzeni,kuwashauri hao wanaowakumbuka baada ya kufukuzwa makwao,waanzishe vyama vyao
pindi wanapofukuzwa kwao,sio kudandia kwenu wakati mnapokuwa mnafanyiwa rafu za kisiasa
wanakuwa upande wa wafanya maamuzi wanachekelea .sasa wakifukuzwa wanakuja kwenu tena
kwa masharti na ninyi mnawapokea kwa mikono miwili?????
 
Zitto akicheza karata vizuri ndiye KUB ajaye, nami namtakia kila jema kwa hilo. Kwa zanzibar sioni wa kuwazuia ACT mwaka huu kuongoza serikali.
Zito kawachakaza na kuwazidi mbinu chadema wote,! Amemnyakua Seif na sasa Membe, chadema wao wamebaki na Nyarandu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Chadema wamepaniki sana mkuu! Na walipanic tangu siku ile Seif kaenda ACT

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…