Unachekesha kweli kweli, ACT wanaihitaji CHADEMA kuliko CHADEMA wanavyoihitaji ACT,fanya utafiti hadi mda huu ACT hawana uhakika wa kushinds jimbo lolote bara labda la Zitto kabwe,CDM hadi mda huu wana uhakika wa majimbo zaidi ya 20 kama kila kitu kitaamuliwa na Sanduku la kura.Kuhusu mgombea Urais,ni ukweli ulio wazi Membe hawezi kupata kura nyingi kumzidi Lissu kama wote watapitishwa na vyama vyao kugombea.Zitto is very smart. Bila Chadema kufanya kazi na Zitto hawaponi kabisa! Lazima wakubali kurudi chini wawaunge mkono ACT walau kwa makubaliano ya kuachiwa majimbo maalum.