Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Kwa upande wa Urais wapinzani wanajidanganya tu, huu ndo ukweli mchungu
 
Naona walikuwa wanaweka mikakayi ya kuifumua yanga.

Hatimaye yakatimia kwa yanga kupigwa 4G
 
Hawa ndugu mbona hawajavaa viatu jee walikuwa ICU au mchezo gani huu. Hawa jamaa wameshajiandaa na ugombea mwenza wanadhani Membe atamwaga fedha kama Lowasa, Membe ni bahili fedha yake haitoki mpaka kwa koleo. Hapa kuna hesabu za Alinacha Membe atapita urai bara na Maalim Unguja haya tusubiri October
 
nafsi yangu haitaki kukubali kua kweli ccm imekubali kumpoteza membe, ccm siwaamini kabisa.
 
Zitto mjanja, CDM wanamchukulia poa, Membe hatogombea urais lakini ataupa upinzani nguvu kubwa. CDM na ACT mkiungana kwa namna yoyote ile CCM will never be the same.
 
Zitto mjanja, CDM wanamchukulia poa, Membe hatogombea urais lakini ataupa upinzani nguvu kubwa. CDM na ACT mkiungana kwa namna yoyote ile CCM will never be the same.
BM anataka kugombea yeye, Act hawajali sana kuhusu kushinda sababu hawana cha kupoteza , Bado chama ni kichanga

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Tundu anajulikana wanaharakati tu
 
Kwani 2015 kulitokea nini?
Mpaka tuchukue tahadhari na Membe?
 
Hiki ni kilio cha uchungu mkali kwa CHADEMA,

Mwaka huu hawapumui.


Najua hapo wanawaza sana wafanye nini?. Wakijiunga na ACT watakosa mgombea Urais Bara na Visiwani. Mwaka mgumu sana huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…