Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Membe ktk upinzani. Ila usiwaache baada ya kukosa unachotafuta ukarudi "nyumbani".Aliyekuwa Mwanachama wa CCM Bernard Membe amejiunga rasmi na Chama Cha ACT Wazalendo.
View attachment 1504645
Mmawia umeguswa unuke au ukanukia.Mwaka mgumu sana kwa maccm
Mmawia umeguswa unuke au ukanukia.
Twende na Membe imeishia ACT kweli? Kachelo Mbobezi kaishia ACT kweli? Chama chenye Mbunge Mmoja?
Hii ni Aibu sana. Pole sana Ndugu yangu. Tulia tu CCM huyo Membe keshapoteza Maboya katikati ya Nungwi.
Kweli tunahutaji kuiondoa ccm madarakani..lkn mtu sahihi na chunguo la waTanzania ni mhe.Lissu tu...hao wengine hapanaHizo ni dua za mambumbumbu wasiyo jitambua, sisi wapinzani tunacho hitaji ni kuiondoa ccm tu.
Pamoja sana mkuu...tusirudie ujinga wa 2015Mkuu hilo halina ubishi hata kidogo na inajulikana kuwa kiboko ya maccm ni mh Lissu tu. View attachment 1505538
Vipi ikiwa hivi Mgombea urais Tundu Lisu mwenza Membe nani atakatiza!?? Jiwe thubutu!! litapasuka na kuwa unga wa sembeWahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.
Hawa adui yao CDM na wameshaulikanaWahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.