Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

Mwaka mgumu sana kwa maccm
Hiki ni kilio cha uchungu mkali kwa CHADEMA,

Mwaka huu hawapumui.

Najua hapo wanawaza sana wafanye nini?. Wakijiunga na ACT watakosa mgombea Urais Bara na Visiwani. Mwaka mgumu sana huu.
 
Mwaka mgumu sana kwa maccm
Mmawia umeguswa unuke au ukanukia.

Twende na Membe imeishia ACT kweli? Kachelo Mbobezi kaishia ACT kweli? Chama chenye Mbunge Mmoja?

Hii ni Aibu sana. Pole sana Ndugu yangu. Tulia tu CCM huyo Membe keshapoteza Maboya katikati ya Nungwi.
 
Hizo ni dua za mambumbumbu wasiyo jitambua, sisi wapinzani tunacho hitaji ni kuiondoa ccm tu.

Kweli tunahutaji kuiondoa ccm madarakani..lkn mtu sahihi na chunguo la waTanzania ni mhe.Lissu tu...hao wengine hapana
 
Mkuu hilo halina ubishi hata kidogo na inajulikana kuwa kiboko ya maccm ni mh Lissu tu.
Kweli tunahutaji kuiondoa ccm madarakani..lkn mtu sahihi na chunguo la waTanzania ni mhe.Lissu tu...hao wengine hapana
Screenshot_20200608-210107.jpeg
 
Wahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.
Vipi ikiwa hivi Mgombea urais Tundu Lisu mwenza Membe nani atakatiza!?? Jiwe thubutu!! litapasuka na kuwa unga wa sembe
 
Naona unalitakia Jiwe safari ya kwenda ujerumani
Vipi ikiwa hivi Mgombea urais Tundu Lisu mwenza Membe nani atakatiza!?? Jiwe thubutu!! litapasuka na kuwa unga wa sembe
 
Wahanga waliofukuzwa kwenye vyama vyao wamekutana, Kama akigombeaa ACT basi CCM wamewagawa wapinzani wakagawika, maana Zitto najua anaangalia namna gani atakuza chama na anajua Membe hawez kushinda labda kukiongezea chama nguvu huko kusini. Chadema simameni na Lissu sisi wapenda mabadiliko tutamchagua Lisu.
Hawa adui yao CDM na wameshaulikana
 
Back
Top Bottom