Picha: Bifu la Diva na Sintah, Wema aingilia kati

Status
Not open for further replies.
aahh aaahh..wanatumia mgongo wa siasa kuwapanga mabinti...
eti iwe siri kwa sababu ya political career..kumbe iwe siri ili usiwajue 'wenzio'.

Political career Bongo au wapi...?

Mimi nilidhani sifa moja wapo muhimu ya mgombea ndio hii ... au kuna aliyewajibishwa kwa kuwa na wanawake kila mtaa?

christine ibrahim
 
Last edited by a moderator:

Ni kiongozi gani wa siasa asiyekua mzinifu??? Bora hata ya huyo zito kwan hana mke huwez kusema anazini. Hizo ni show za mabachela.

Kuna viongozi hadi wanaterekeza ndoa zao na kwenda kuchepuka hao unawaongeleaje???

Au ushabiki wako umemuona huyo bachela ndo mzinifu na kuwaacha wanandoa wakizn nje ya ndoa?
 
sa zitto anakana nn wakati alikuwa kiboyfriend chake kweli kabla huyu mama haja
muopoa GK...
 
Dinazarde

bora unisaidie kushangaaa. Maana mastar wa bongo wamaogopa ukubwa zaid ya ukimwi.
Wanajiona wao ndo watoto wakati muda ndo unawatupa mkono teh teh.
Hizo shikamoo hana bibi yake huko kijijini kwao akampe?
 
Last edited by a moderator:
kichunafk

Hiyo shikamoo angempa baby ake Zitto kama ye ana adabu kweli.....!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo zzk anapenda sifa za kijinga na sasa kajibeba kwa kutembea na huyo kidudu mtu!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
heheheee..hizi ni classified kabisaa..
walahi nakunyonga...lol

Huyo Morales Gissele ndio Diva?mbona anapenda kujipachika majina ya watu wemgine!Diva una mapungufu gani!
 
Dinazarde

Hahahahahah umenichekeshaje.. yaani katika vitu zito anajutia ni kuwa na huyu dada aisee .probably t was hit n run ila bi dada kaikomalia..Gk should take notes he's next kudhalilishwa hivi
 
Last edited by a moderator:
lovely love

Yaaan na hapa Zito angekubalii hayo mahusiano kua yalikuwepo diva angetosa ilii tu aongeleweee halaf et ooo zito hafai kua kiongoziii nani kiongoz ambae hadinyii waanze na Kikwete alie na wanawake kila mkoa banaaa
 
Last edited by a moderator:
Huyo Diva mbona kama zuzu kuweka email za zzk ndio nini? Ni sifa kwamba umetembea na zitto? Yeye kashakukana kama hajawahi kuwa na wewe kabisa au unatafuta kiki kwa GK kwamba ulimwambia zitto alikuwa mpenzi wako ukamuacha yeye ukaenda kwake (GK) kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwamba umefata mapenzi na si pesa? Kapime Vina Vikali Usipime maana huyo Zana Za Kilimo unayemng'ang'ania umetembea nae Job true true!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…