BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Diva ni mmoja ya watangazaji ambao nati zao kichwani zimeachia kabisa!
huyu sintah amezidi naye. blog yake siku hizi imejaa udaku tu.
Mbona mnamshambulia sana huyo diva? yeye alichofanya ni ku-prove kwamba ameshazini na zitto... Yeye zitto kamkana hadharani, mlitaka diva anyamaze ili ionekane zitto hajamkunja? Nauliza swali kwa nini zitto aliamua kum..mba? Tena diva nampongeza maana tunapenda tufahamu hawa viongozi wetu jinsi walivyo, hata katika chaguzi tuwe na maamuzi muafaka.
heheheee..hizi ni classified kabisaa..
walahi nakunyonga...lol
Yupo busy na kunyonyesha