PICHA: Binti anayesota ndani kwa kesi ya ugaidi

PICHA: Binti anayesota ndani kwa kesi ya ugaidi

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
IMG_7279.jpeg
 
Ni majuto kwake na familia yake. Mahakama ikimkuta na hatia impe adhabu kali ili iwe fundisho kwa CHADEMA
 
Alirubuniwa na Chadema,Chadema ni watu wabaya sana, Tundu Lisu inabidi anyongwe tu
Unaujua ugaidi au uhaini wewe? Umeshiba makande kwa shemeji na ka-tekno kako unagongea wifi ya bure kwa jirani unapost UTUMBO UTUMBO.
 
Samuya ni mpango wa Mungu, amekuja makusudi kuiua ccm, kwenye uchaguzi wowote HALALI ccm haishindi tena hapa Tz!.
Ile kukataa katiba mpya sio bahati mbaya!.
 
Back
Top Bottom