PICHA: Binti anayesota ndani kwa kesi ya ugaidi

PICHA: Binti anayesota ndani kwa kesi ya ugaidi

Mhh aisee sasa huyo na ugaidi wapi na wapi ili mradi kuharibu taswira ya Nchi tu hii mbinu inayotumika ni ya hovyo kuwahi kutokea..
 
MARIA, HILDA, HECHE, PAMBALU, MANGE na wengine washawahi kwenda kumuona?? Wapigania haki je?? Ukiwaza bila mihemko utagundua kwamba kwenye mapambano tupo wengi likikufika ni lako peke ako.
 
Ni majuto kwake na familia yake. Mahakama ikimkuta na hatia impe adhabu kali ili iwe fundisho kwa CHADEMA
Hizi ndio gharama za mabadiliko, naona umeongea ili kuwatia watu hofu waogope kudai mabadiliko. Kama unategemea watu wataogopa kudai mabadiliko sijui familia zao zitateseka, utasubiri sana.
 
Alirubuniwa na Chadema,Chadema ni watu wabaya sana, Tundu Lisu inabidi anyongwe tu

Wa kunyongwa ni yule aliyeamlisha vijana wetu wauawe MO29. Huyo mtu lazima ajulikane ni kuwajibishwa. Iwe leo ama 2 decades later.
 
MARIA, HILDA, HECHE, PAMBALU, MANGE na wengine washawahi kwenda kumuona?? Wapigania haki je?? Ukiwaza bila mihemko utagundua kwamba kwenye mapambano tupo wengi likikufika ni lako peke ako.
Naona unaamini huu usen@#$ge ulioongea hapa utawatisha watu kudai mabadiliko. Huko magereza si ndio watu wanawekewa mizengwe kuwaona haona mnaowabambikia kesi?
 
Naona unaamini huu usen@#$ge ulioongea hapa utawatisha watu kudai mabadiliko. Huko magereza si ndio watu wanawekewa mizengwe kuwaona haona mnaowabambikia kesi?
Waza bila mihemko utanielewa
 
Yes,
nadhani ikithibitika ana makosa yanayomsotesha korokoroni mpaka sasa, nadhani ataendelea kusota zaidi.

nitoae rai kwa waTanzania wote,
kuheshimu na kutii sheria na katiba ya nchi bila shuruti, na ni vizUri zaidi kujitenga au kujihusisha kabisa na magenge au makundi ya kihalifu ikiwa ni pamoja na ya kigaidi, ambayo wakati mwingine yanaweza kukuingiza matatizoni na kuharibu kabisa ndoto na malengo yako katika maisha.

SHERIA HUA HAZIENDAGI LIKIZO NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA HAVILALI USINGIZI :NoGodNo:
 
Ni majuto kwake na familia yake. Mahakama ikimkuta na hatia impe adhabu kali ili iwe fundisho kwa CHADEMA
Na Asipokutwa na hatia Alipwe fidia.

MTAWEZA ?

Mmegeuza mahakama kua chumba cha maigizo. kwa nini hamueshimu mahakama ?

ushahidi uko wapi ?
 
Kabinti kanaonekana kazuri Usoni
Lkn
Kiundani kinaonekana kina Pepo chafu la chuki

Kufuga Chuki ni mbaya chuki ugeuka Pepo chafu
Linakutuma kufanya mambo mabaya ya kigaidi Gaidi!!!

Wanye kufuga chuki chuki sanaaa

niwaombe mpunguze yasije kuwakuta kama uyo Dada bado kijana kabisa majuto ni mjukuu ✍️
 
Back
Top Bottom