Hata mi ntampigia kura, maana kati ya watu ambao wananifanya kila siku nicheke ni Lemutuzi, lazima niingie kwenye blog yake kila siku na ni lazima utacheka, halafu anafanya makusudi tu.
Yani wewe naona hakuchekeshi kama mimi,pliz ntumie link ya blog yake manake siijui naiskiaga tu
Pia mimi naona hafanyi kusudi ndio akili zake zinavomtuma
- Hamna mkorogo huyo ni Super Model namba moja Tanzania nzima hakunagaz punguzeni mawivu ya kitoto!!, ok!!
Le Mutuz
Amekuchukulia mkeo nn
- Hamna mkorogo huyo ni Super Model namba moja Tanzania nzima hakunagaz punguzeni mawivu ya kitoto!!, ok!!
Le Mutuz
Le mutuz mwenyewe mke wa watu
haya mambo ya le mutuz watoto wa kihuni tunayaita NOMA KWAKO.....yaani mtu anafanya jambo ambalo wewe unayeangalia unaona aibu ila yeye anaona kapatia
Hata mi ntampigia kura, maana kati ya watu ambao wananifanya kila siku nicheke ni Lemutuzi, lazima niingie kwenye blog yake kila siku na ni lazima utacheka, halafu anafanya makusudi tu.
yo yo yo wasape my nigga? wana wivu hao mabaharia miaka yote ni matawi ya juu, mabebs wa ukwehe wanapenda kuhang out na watu wenye title zao mjini.
- Hao ni wabebez wa ukweli huwezi kuwasogelea kama sio big Celeb kama Le Mutuz Big Show so relax maaan!
Le Mutuz
Mkuu anayekuchukia sawa anajisumbua bure tu yaani napenda kusoma unachoandika isipokuwa hapa niyakufuata hata kwenye blog yako big up the big show le mutuz
Haahaha,nmekupenda bure..
- Ride on mamen U know, love it!! halafu umegundua kwamba all thread zinazonihusu zinajaza sana watu humu JF ndio maana ya Celebrity U know!!
Le Mutuz System
- ha! ha! kama ulivyo wewe sio mkuu sana? ha1 ha! ha!
Le Mutuz
- ha! ha! ha! ha! ha! you made my day U know big time, anayechukia ale chupa tu au ajinyonge mimi naendelea kuishi na maisha yangu yataendelea kuwa torture to all the mburulazzzz U know I could careless salute mtuwangu U know!!
Le Mutuz
Jamaa anazidi kuzeeka tu...Sura inazungumza umri wake.
le mutuz katimiza miaka 35,