Picha: Birthday ya Le Mutuz

Picha: Birthday ya Le Mutuz

Hata mi ntampigia kura, maana kati ya watu ambao wananifanya kila siku nicheke ni Lemutuzi, lazima niingie kwenye blog yake kila siku na ni lazima utacheka, halafu anafanya makusudi tu.

Yani wewe naona hakuchekeshi kama mimi,pliz ntumie link ya blog yake manake siijui naiskiaga tu
Pia mimi naona hafanyi kusudi ndio akili zake zinavomtuma
 
Yani wewe naona hakuchekeshi kama mimi,pliz ntumie link ya blog yake manake siijui naiskiaga tu
Pia mimi naona hafanyi kusudi ndio akili zake zinavomtuma

we google tu www.williammalecela.com
au inaitwa blog ya wananchi.
 
haya mambo ya le mutuz watoto wa kihuni tunayaita NOMA KWAKO.....yaani mtu anafanya jambo ambalo wewe unayeangalia unaona aibu ila yeye anaona kapatia
 
haya mambo ya le mutuz watoto wa kihuni tunayaita NOMA KWAKO.....yaani mtu anafanya jambo ambalo wewe unayeangalia unaona aibu ila yeye anaona kapatia

- Yaani kuhang out na mbebez wa ukweli wewe unasema ni tatizo pole sana sisi tutaendelea tu wewe huwezi kaa pembeni ebo!1

Le Mutuz
 
Hata mi ntampigia kura, maana kati ya watu ambao wananifanya kila siku nicheke ni Lemutuzi, lazima niingie kwenye blog yake kila siku na ni lazima utacheka, halafu anafanya makusudi tu.

- Thanks bro I am a business man so na I love this maana panga pangua kila aliyegusa this thread lazima aingie blog kule that is the goal so one page maaan!!

Le Mutuz
 
yo yo yo wasape my nigga? wana wivu hao mabaharia miaka yote ni matawi ya juu, mabebs wa ukwehe wanapenda kuhang out na watu wenye title zao mjini.

- Hao ni wabebez wa ukweli huwezi kuwasogelea kama sio big Celeb kama Le Mutuz Big Show so relax maaan!

Le Mutuz
 
Mkuu anayekuchukia sawa anajisumbua bure tu yaani napenda kusoma unachoandika isipokuwa hapa niyakufuata hata kwenye blog yako big up the big show le mutuz

- ha! ha! ha! ha! ha! you made my day U know big time, anayechukia ale chupa tu au ajinyonge mimi naendelea kuishi na maisha yangu yataendelea kuwa torture to all the mburulazzzz U know I could careless salute mtuwangu U know!!

u know hawajui wale mabebez wa ukwelezzz unaopiga nao picha wengine wanakufuata wenyewe ili watokee kwenye instagram ac yako au kwenye blog kubwa mwananchi wajulikane kama wanajuana na le mutuz wauze kazi zao ha ha ha
 
Back
Top Bottom