Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hata mi ntampigia kura, maana kati ya watu ambao wananifanya kila siku nicheke ni Lemutuzi, lazima niingie kwenye blog yake kila siku na ni lazima utacheka, halafu anafanya makusudi tu.
Yani wewe naona hakuchekeshi kama mimi,pliz ntumie link ya blog yake manake siijui naiskiaga tu
Pia mimi naona hafanyi kusudi ndio akili zake zinavomtuma