milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Huwa wanawahi mbinguni. Ukienda taratibu mbinguni hufiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini serikali isilaumiwe wakati madereva wengi wa bodaboda na bajaji wanaendesha vyombo vyao bila leseni?!Kwahiyo mkuu serikali haitoi semina kila wakati kuhusu mambo ya usalama na tahadhali barabarani?
Labda ungesema ifungie mojakwamoja hii kazi ya boda boda kua kazi lasmi nasio ui Raumu serikali kwakila kitu..baadhi yamambo nisababu binafsi tuu.
WABADILIKE👈
Mbona ulikuwa umefika!?Kama itawezekana, wangezifunga speed governor yenye limit ya 80km/hr
Vinginevyo watatuua abiria wao.
Kuna Siku nilikuwa nawahi ku-check-in ndege, maana zilibaki dakika 65 hivi ndege iruke na Mimi muda huo nilikuwa Sinza.
Ili kuwahi nikachukua boda ani-rush
Jamaa mwendo aliokuwa anaendesha, ukafanya nishukie njia ya panda ya Segerea, nikapiga simu kuomba nisafiri Kwa ndege ya Jioni.
Unaweza kuondoka Duniani kabla ya Siku zako Kwa uzembe wa hao bodaboda 🙌
Ni kweli, nilikuwa nakaribia lakini Kwa mwendo ule pamoja na kupitishwa katikati ya yale Malori nilihisi roho inataka kutoka 😅Mbona ulikuwa umefika!?
Wangepiga marufuku tu hiyo biashara ya bodaboda