Picha bora ya mwezi barani Afrika kutoka kwa Mke wa Rais Mteule wa Botswana na somo kwa wanawake wengi wa viongozi

Kwenye uchawa na kukiketetea chama hakuna kazi ya kanisa.

Kila siku nakwambia tumia ID moja tu, yenye uwezo wako wote.

Usichanganye watu uwezo wako.

Tetea chama kwa hoja na pinga kwa hoja.


Usijiweke level za Mwijaku na Babalevo; labda uwe una hata diploma.

CCM chama na Lucas Mwashambwa ni mpambanaji.

Japo siyaungi mkono majizi ya CCM wapigania hiko chama cha hovyo kwa kujitolea wanahitaji kulelewa.

Na wewe taahira inabidi uelewe, somo; kama una ID zingine za kuchangia ujinga wenyewe wanajua.

Hawa promote matahaira kisa wanatumia nguvu kujipendekeza.
 
Zambia na Botswana ni kawaida mno kupiga magoti kwa mkubwa. Kuna picha Rais HH kapiga magoti mbele ya chifu wa kikabila.
 
Mimi nina ID moja tu na wala siyo chawa.
 
Wabongo wamemezeshwa sumu kiasi hata mtu akifanya jambo kwa upendo wanaona ni show off
 
Kwa hio wanaume mnataka kunyenyekewa na kupigiwa magoti sio?
Why?
 
Wangapi umewahi kuona wakifanya hivyo hadharani.bila shaka hata wewe mwenyewe utakiri kuwa ni wachache sana.Huyu Mwanamke anahitaji pongezi sana
CCM ina akili ya kuelewa quotes za wivu, nchi yetu ni maskini; maswala ya wivu hayakosekani.

Chuki ni mambo ya kawaida, do you
(Mpaka watu waone sababu ya kukuletea umbea).

Viongozi wa CCM wakitaka kukujua hawatafuata post za JF wanawatu dunia nzima ya kukujua na kukuona.

Mengine ni yako na huu ni ushauri wangu wa mwisho kwako. Do you, hata uwe Alaska wakita kukujua watakutumia watu do you.

Ndio maana uwezi kuona watoto waliolelewa na chama wanaangaika na watu wengine. CCM ni limashine likubwa..
 
Sijui tabia yake,lakini kuna vitu mwanamke akifanya vinaleta ladha flani hivi kwenye mahusiano....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…