Picha bora ya mwezi barani Afrika kutoka kwa Mke wa Rais Mteule wa Botswana na somo kwa wanawake wengi wa viongozi

Picha bora ya mwezi barani Afrika kutoka kwa Mke wa Rais Mteule wa Botswana na somo kwa wanawake wengi wa viongozi

Kwanini utoe hitimisho la kwamba nina upeo wa karibu halafu baadaye ndio uulize swali la ninajuaje? Kwanini usingeuliza swali kabla ya kutoa hitimisho lako?
Maoni kuhusu hilo tukio linaonyesha kuwa upo na mawazo ya juu juu utiifu ndani ya ndoa ni siri kubwa mno though ni maoni yako kuhusu nidhamu ya huyo mke wa Rais ,Maoni yako yaheshimiwe mkuu
 
Huyu Rais alieshinda kagombea mara ya tatu hii kwa Chama chake cha Upinzani na kashinda wakati wapo kwenye Kampeni nilishangaa wapiga kura wengi wakiwa kwenye vazi la hiki Chama nikaona maajabu kidogo nilipofika SA nangalia taarifa ya habari naambiwa jamaa wa Chama cha Upinzani kashinda..
 
Ma thread yako yanakufanya kuwa the hate figure humu jf. Anyway naamini hata mkeo anakuheshimu kwa kupiga goti.
Mimi ni mzinza ila najua kuwa wanyakyusa ( akina mwanshambwa ) mwanamke kumpigia magoti mwanamme ni sehemu muhimu ya utamaduni wao, kwahiyo najua mleta mada kama kaoa mke wa kabila lake kupigiwa magoti ni jambo la kawaida kama ilivyo kwa wasukuma na wanyambo wa kule Karagwe mkoani .
 
Leo chawa limepeperukia Botswana,Mbona hata wewe nakuonaga ofisi za ccm ukifanya hivyo unapopokea sh 2500 unayolipwa kila siku kama malipo ya uchawa mavi
 
Nyoka anavyokutambalia mwilini Kama hakung'ati vile.
 
Leo chawa limepeperukia Botswana,Mbona hata wewe nakuonaga ofisi za ccm ukifanya hivyo unapopokea sh 2500 unayolipwa kila siku kama malipo ya uchawa mavi
😀😀😀Kweli ujinga ni kipaji.Dogo unakipaji cha ujinga .
 
Hajakutana na wataalamu wa dizaini ya Baltasar Ebang Engonga kutoka Equatoria Guinea?
 
Kwa hiyo unataka kujua kama anafanya nyumbani au hafanyi? Alichofanya hadharani ndicho afanyacho kwake na mahali penginepo popote pale.Mwenye heshima ni mwenye heshima tu,mwenye unyenyekevu ni mwenye unyenyekevu tu na utamtambua awapo mahali popote pale.
It needs two to tango, usione vyaelea
 
Back
Top Bottom